Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina rafiki yangu mmoja ambae tumesaidiana mambo mengi hasa kielimu takribani miaka 6, hasa hasa amenisaidia ishu za financial (loan) coz kwao wapo vizuri kidgo, sasa ishu inakuja wapi huyu jamaa...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Jumatano moja kuna rafiki angu sana, just call him my bro as nimekua nae tangu vidudu alinialika kwa mlo wa usiku. Jamaa alikuwa ndo kamuoa just miezi kadhaa Jasmin ambaye ni mshikaji wetu pia...
23 Reactions
240 Replies
14K Views
Nilikuwa napitia clips za humu youtube mara ghafa 'nikakutana na mwanamke wa ndoto zangu'... Yani hapa tangu asubuhi niko naangalia hii clip ili niendelee kumuona mtoto mtamu Lisa Krilova...
0 Reactions
62 Replies
17K Views
Habari wapendwa, Wadada leo naomba tujikumbushe kitu kidogo hapa :- Ni kuhusu kuchagua watu wa kuwa nao kwenye mahusiano mf: -kumezuka wimbi la wasichana kupenda kutembea na waume za watu kisa...
13 Reactions
215 Replies
18K Views
Huwa nasikia watu wanasema kuna raha ya kukutana na mwanamke bikira, lakini mimi sijawahi kuona raha ya "kugegeda" binti bikira zaidi ya kuwa kero tu na usumbufu. Ujana wangu niliwahi "pita" kwa...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana, Nina swali moja leo kwa wanaume; Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa...
7 Reactions
266 Replies
27K Views
Wana MMU leo mtashangaa sijaja nimelewa sana humu ndani, niko mtaratibu sana tofauti na siku nyingine. Ningelewa nadhani humu leo pasingekalika. (Nilikua na mke) sijui kama bado ninae. Tangu siku...
5 Reactions
125 Replies
12K Views
Nimeoa 2015 kwa ndoa halali kabisa kwa mapenzi ya Mungu mke akapata mimba, tukakaa baada ya miezi saba mke akasema hawezi jifungulia hapa nilipo ni lazima ajfungulie nyumbani kwao. Mimi nikasema...
10 Reactions
170 Replies
61K Views
Wakubwa habari zenu, Ndugu zangu, nipo kwenye wakati mgumu sana kwa sasa kwani ndugu zangu, rafiki zangu pamoja na watu wa karibu yangu wananichukulia tofauti na vile jinsi nilivyo. Kwa ufupi ni...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Ilikua ni saw kumi na mbili za asubui katika izi nyumba zetu za upangaji, Jamaa kaamka mapema kupiga usafi uku akijisindikiza na kawimbo ka msaga sumu mwanaume mashine, jamaa amekomaa nap kweli...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
KWANINI ULIKUJA KWA KUSHTUKIZA BABA? Akiwa bado yuko safarini baba anold akajisemea "enhee wacha leo nimsurprise wife" na alitaka afanye hivyo ili kuupima uaminifu wa mkewe baada ya kusikia...
7 Reactions
12 Replies
4K Views
heri ya Jumapili, ramli yangu inanionesha kuwa walimu wamezini na wanafunzi wao angalau Mara moja katika utumishi wao. ushuhuda: mwaka 2009 nilihitimi f6 nikaanza kujitolea ktk shule X kule...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanaume ulijifunzia mapenzi wapi? ni nani alikufundisha mpaka ukaanza ku kwichi? bila ubishi wanaume wengi tumejifunzia mapenzi kwa ma "house girl" najua wapo watakao pinga hili ila ukweli wengi...
6 Reactions
89 Replies
13K Views
Kabila la OVAHIMBA ambalo linapatikana kaskazini mwa Namibia katika mikoa ya Kunene na Omusati, bado wana utamaduni wa kuwapokea au kuwakaribisha wageni wa kiume kwa kufanya mapenzi wakiamini kuwa...
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Mbinu zilizokwisha tumika hata 10 hazifiki,bado mbinu 190 zipo reserve. Huwa nashangaa sana kuona mwanamke anapoteza muda wake na kuwekeza fedha kumfuatilia...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanajamii forum poleni na kazi za ujenzi wa taifa.naenda straight to the point Kuna mdada mmoja nilikuwa namuelewa lakini kipindi hicho bado nilikuwa masomoni I mean sekondari .nikapiga...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Katika uzoefu wangu wa kusafiri hasa katika routes za DOM, DAR, ARUSHA, KILIMANJARO, MBEYA. Lakini pia hata routes ndefu ndefu za ndani ya mji! Mfano; SIMU2000 -MNAZI MOJA MBEZI - BUGURUNI...
20 Reactions
238 Replies
26K Views
Hello Ladies. Natumai hamjambo wote humu ndani. Pia poleni sana kwa majukumu ya hapa na pale katika kulijenga taifa letu. Ni kwamba hivi baaadhi ya wanawake wa siku hizi mmerogwa na nani...
2 Reactions
74 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu, mimi ni mwanaume 27 years old, napenda sana kufanya sex, wakati wote, yaani nikilala na mwanamke kitanda kimoja muda wote natamani kufanya naye sex. Sasa Jana mpenzi wangu...
1 Reactions
83 Replies
19K Views
Wasalaaaam………!!!!!! Nimekaa nimetafakari kisha nikagundua katika maisha yangu yote toka nimebalehe sijawahi kufanya mapenzi nikiwa sijalewa, wanawake wengi ninaotembea nao ni wale ma barmaid...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…