Sijawahi kufanya mapenzi nikiwa sijalewa hii imekaaje wandu!?

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
490
1,461
Wasalaaaam………!!!!!!

Nimekaa nimetafakari kisha nikagundua katika maisha yangu yote toka nimebalehe sijawahi kufanya mapenzi nikiwa sijalewa, wanawake wengi ninaotembea nao ni wale ma barmaid nawapenda sana barmeid unakuta ni bonge la dem na tena kawazidi viwango zile pisi ambazo zinajifanyaga zinaringa mtaani yani mpaka utongoze mwezi ndiyo anajifanya kukuelewa sasa mimi pigo hizo sizitaki….

Hivyo hali hiyo imepelekea mimi kufanya mapenzi baada ya kupiga mtungi na lazima nirudi geto na toto moja linamzigo utadhani wale kina mbise wa instagram…. Toto toto kweli mpaka majirani wanashangaa huyu jamaa anatoaga wapi hizi pisi kali namba hii kumbe ni bar tu.

Huwa nikiingia bar naagiza k-vant ndogo nachanganya na safari zangu kama nne hivi, Zigo nitakalolipata nalichukulia heineken bakket nzima huku tumeagiza kilo ya kitomoto (hapo kitimoto tunakula wote) nikifika nazidabua kwanza safari mbili ghafla kuupiga stata ubongo ili uweze kupepesa macho vizuri kwaajili ya kujitwalia zigo kali la kukaa nalo kwenye meza yangu tena lenye viwango vya posh queen( napenda sana maisha hayo) sihitaji kutongoza mtu miezi miwili utadhani naomba kazi eti kisa tu anivulie chupi hell no.

Na nikishapiga huo mchanganyiko wa safari na k-vant show yake sio ya kitoto…. Nishapiga mpaka threesome mara kibao na mademu wakali wa bar(maisha ndiyo haya haya bana, jipe raha duniani tunaishi maramoja tu).

Sasa wazee lifestyle hiyo imesababisha nigundue kuwa toka nimebalehe sijawahi kufanya mapenzi bila kunywa pombe(yaani sijawahi kula mzigo kwa demu nikiwa hivi macho makavu) nisije kujiona mimi ni mkali wa kupiga show kali kumbe ni support ya pombe maana nikipiga mitungi hata ikiwa ni threesome mademu wote wawili nawakamua vilivyo mpaka wenyewe ndiyo wanaomba poo.

Sasa wazee hii inaweza kuwa na madhara? Nataka nitafute mwanamke nimpige show ya mchana mchana nikiwa sijanywa pombe ya aina yoyote ile(yaani show ya macho makavu) ili kuupima uwezo wangu wa sex nikiwa niko sober.

Je kuna ambaye tunafanana katika hali hii au ni mimi tu!!!!!

Mods naomba mnirekebishie tittle hapo neno la mwisho isomeke Wandugu badala ya neno wandu.
 
Asante kwa taarifa mkuu
TangazO la biiia na madada poa halijawahi kutokwenda papindukula sasa hapo umemtangaza k-vant, safari, mkuu wa meza kitimoto, mbise na poshy queen

Hivyo ndivyo nilivyoviona mzee wako sina ushauri endelea na kazi fainali uzeeni narudisha mpira kwa kipa
 
Asante kwa taarifa mkuu
TangazO la biiia na madada poa halijawahi kutokwenda papindukula sasa hapo umemtangaza k-vant, safari, mkuu wa meza kitimoto, mbise na poshy queen

Hivyo ndivyo nilivyoviona mzee wako sina ushauri endelea na kazi fainali uzeeni narudisha mpira kwa kipa

Kuna tofauti kubwa sana kati ya dadapoa na barmaid. Mimi sigongi na wala sijawahi kugonga dadapoa mimi ni mabarmaids tu wenye misambwanda ya kufa mtu.
 
Wasalaaaam………!!!!!!

Nimekaa nimetafakari kisha nikagundua katika maisha yangu yote toka nimebalehe sijawahi kufanya mapenzi nikiwa sijalewa, wanawake wengi ninaotembea nao ni wale ma barmaid nawapenda sana barmeid unakuta ninbinge la dem na tena kawazidi viwango zile pisi ambazo zinajifanyaga zinaringa mtaani yani mpaka utingize mwezi ndiyo anajifanya kukuelewa sasa mimi pigo hizo sizitaki…. Hivyo hali hiyo imepelekea mimi kufanya mapenzi baada ya kupiga mtungi na lazima nirudi geto na toto moja linamzigo utadhani wale kina mbise wa instagram…. Toto toto kweli mpaka majirani wanashangaa huyu jamaa anatoaga wapi hizi pisi kali namba hii kumbe ni bar tu.

Huwa nikiingia bar naagiza k-vant ndogo nachanganya na safari zangu kama nne hivi, Zigo nitakalolipata nalichukulia heineken bakket nzima huku tumeagiza kilo ya kitomoto (hapo kitimoto tunakula wote) nikifika nazidabua kwanza safari mbili ghafla kuupiga stata ubongo ili uweze kupepesa macho vizuri kwaajili ya kujitwalia zigo kali la kukaa nalo kwenye meza yangu tena lenye viwango vya posh queen( napenda sana maisha hayo) sihitaji kutongoza mtu miezi miwili eti kisa tu anivulie chupi hell no.

Na nikishapiga huo mchanganyiko wa safari na k-vant show yake sio ya kitoto…. Nishapiga mpaka threesome mara kibao na mademu wakali wa bar(maisha ndiyo haya haya bana, jipe raha duniani tunaishi maramoja tu).

Sasa wazee lifestyle hiyo imesababisha nigundue kuwa toka nimebalehe sijawahi kufanya mapenzi bila kunywa pombe(yaani sijawahi kula mzigo kwa demu nikiwa hivi macho makavu) nisije kujiina mimi ni mkali wa kupiga show kali kumbe ni support ya pombe maana nikipiga mitungi hata ikiwa ni threesome mademu wote wawili nawakamua vilivyo mpaka wenyewe wanaomba poo.

Sasa wazee hii inaweza kuwa na madhara? Nataka nitafute mwanamke nimpige show ya mchana mchana nikiwa sijanywa pombe ya aina yoyote ile ili kuupima uwezo wangu wa sex nikiwa niko sober.

Je kuna ambaye tunafanana au ni mimi tu!!!!!


Umebalehe lini kwanza tuanziea hapo....

Halafu pole, unaweza usielewe leo lakini kuna siku utaelewa.

Ipo shida kubwa sana na Mungu akusaidie uweze kupambana nayo na kuishinda.
Kwa kawaida unaweza kujiona unapenda hilo lifestyle lakini kumbe umezidiwa na unatumikishwa na watu usiowajua kwa faida yao
 
Umebalehe lini kwanza tuanziea hapo....

Halafu pole, unaweza usielewe leo lakini kuna siku utaelewa.

Ipo shida kubwa sana na Mungu akusaidie uweze kupambana nayo na kuishinda.
Kwa kawaida unaweza kujiona unapenda hilo lifestyle lakini kumbe umezidiwa na unatumikishwa na watu usiowajua kwa faida yao

Hii komenti inaweza ikawa na ukweli mtupu maana ikifikaga tu weekend yaani ile friday night kichwa kinawaza niende bar nitafute barmaids wawili wazuri nielewane nao tupige unywaji kisha tukapige threesome geto. Kwamba ni wanawake wa bar wananiroga ili niwafuate wao tu!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom