OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,073
- 103,278
Kichwa cha habari kinajieleza. Mbinu zilizokwisha tumika hata 10 hazifiki,bado mbinu 190 zipo reserve.
Huwa nashangaa sana kuona mwanamke anapoteza muda wake na kuwekeza fedha kumfuatilia mwanaume. Ni kujisumbua tu.
Kikubwa ni kumuombea atulie na kumtuliza kwa vitendo badala ya makelele na kumfuatilia. Unakuta mwanamke anahangaika na simu ya mumewe,kuulizia kwa mashemeji na vijiweni kuhusu michakato ya mwanaume.
Ishia kumkumbusha mumeo atulie baaasi,kumfuatafuata utakuja kufa bure