habari wakuu...nimekuja jukwaani na munkari kwa sababu nafsi yangu ina hatia..najihisi mkosaji..lakini poa ngoja niwadokezee...nina swahiba wangu ambaye miaka miaka mitano iliyopita alifunga...
Naanza hivi;
Baada ya kuishi pekeyangu kwa muda sasa, nimeamua kujitokeza kwa mara ya kwanza kwenye jukwaa hili kutafuta mke ambaye yuko tayari kuolewa awe na elimu yoyote isipokuwa darasa la...
Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja...
Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini Kenya inayojihusisha na maswala ya kijamii nchini humo imebaini kuwa wawanawake wanafonya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama (wadada poa) hutumia...
Kwa wadada wenye age below 35,nahitaji mke hata km ana mtt 1,elimu atleast f4.mi ni bizs man elim chuo kikuu.miaka 33.awe na kazi hata km la.ila awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa.cna...
Wadau,
Nimekua nikona wanaume wenzangu wakiwa wanachagua sana mwanamke wa kua nae. Unakuta mtu anachagua sana mwanamke mpaka umri unasogea na hana permanent mwenza. Sasa katika kulitazama hili...
Tangu niingie huu ulimwengu,sijawahi kuumia na kukosa raha na amani tangu mpenzi wangu aniambie neno hili"HUNA JIPYA".For sure nimejiona mdogo kama piriton na nahc kama nimeshachuja.SITAKAA...
Habari zenu wakuu
Mwanzoni mwa mwaka huu niliomba ushauri kuhusu mchumba wangu kukataliwa kupewa huduma alipoenda klinik nilipata majibu mazuri sana kutoka kwa watu mbali mbali waliopata nafasi...
Kama huna jambo/neno zuri la kuzungumza kuhusu mtu mwingine, nyamaza. Kama kuna ulazima wa kuzungumza hilo ulilonalo moyoni, basi mueleze mwenyewe. Jumapili njema wapendwa.
Wadau habari za siku!! Nimeona nitoe kisa hiki nilichopata kusimuliwa na kukishuhudia miaka ya 2000's UDSM.
Kulikuwa na bi mdada kutokea maeneo ya kanda ya ziwa alikuwa ameolewa na kipindi...
Habari zenyu wana jamvi,natumain weekend mnaifaidi kisawasawa,
Nna mchumba wangu tunapendana sana, tuna miezi mitatu ya uchumba,tunaishi karibu. Nilimwambia tuoane mwezi wa 4 mwakani kakataa...
Nikiona wanawake wakiwa na hii hali huwa nawahurumia sana sijui huwa wanapata shida lakini utashangaaa wanazurula kama nini wakati ukimwangalia anapata shida kweli ni zaidi ya kitambi kwa wanaume
Hivi baadhi ya wanawake huwa wana matatizo gani? Unakuta mwanamke ni mjamzito... Ikitokea amekorofishwa na bwana ake anakimbilia kutoa hiyo mimba... Kwani aliyekosa ni mtoto au baba yake...