Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ukigundua partner wako anakucheat,utafanya nini?
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Usaliti! Recho Mathias (23) anadai kumshika ugoni mumewe wa ndoa akiwa na mwanamke ndani ya chumba chake tena kitandani. Tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita maeneo ya Mashiri, Mabatini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza niwasalimu wanna jf sijaonekana siku nyingi humu jamvini. Iko hivi wana jf, kuna Mtoto wa mamdogo wangu alipata mchumba ni hapa dar amemchumbia na huyo sister akahamia kwa huyo...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Hii imemtokea rafiki yangu so akaja kuniomba ushauri! Yeye na mke wake kwa sasa wamenuniana ndani ya Nyumba, chanzo ni mwanamke anamtuhumu mumewe kuwa anamega nje ya ndoa, mume anasema si kweli...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
aagghhh inakera sasa eti wivi wa mapenzi, nani kasema ni upendo kila mtu anakimbilia kuua mpenzi wake na yeye kujiuwa kisa wivi wa mapenzi inatukera sasa acheni ujinga na ulimbukeni wa mapenzi...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa, Si ugomvi mkubwa sana ila umesababisha nimenuniwa, ni hivi baba na mama mkwe wamekuja kututembelea sasa tumewaandalia chumba chao wamelala. Jana usiku wao wakatangulia...
13 Reactions
151 Replies
12K Views
Habari kwenu, Kuna wengine waliachwa wakakata tamaa lakini baadae wakaja kupendwa na mwingine tena akawa bora zaidi ya yule wa awali. Wadau tunaomba experience zenu maana huenda kupitia...
0 Reactions
68 Replies
12K Views
Hawana nia ya kujinufaisha, wana upendo wa dhati, kwao pesa sio msingi wa urafiki wao, wanavumiliana, wanafurahi na kucheza pamoja.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mim ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 natafuta marafiki wa jinsia zote umr kuanzia miaka 18.Nipo dar karbu sana
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Muhali gani ndugu zangu. Sote tumesikia kilichojiri Ilala huko.. Hayumkini ya ufoo hayajaisha bado yanazunguka katika akili zetu. Tukiyaangalia matukio haya kwa jicho la 3 na zaidi tukiyatumia...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
I need a girlfriend must be at Roq city any one AM 24Yrs
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani uswahilini kumebarikiwa wasichana wazuri sana, japo wengi wao maisha ni ya kati hawana fedha za kununua nguo za bei gali na kwenda na fasheni bado wako juu. Kwa ndugu zangu ambao hamjaoa...
1 Reactions
179 Replies
25K Views
Wana-jf sina uhakika kama hili lilishawahi kuzungumzwa hapa au la. Lakini nimeona si vibaya tukalijadili na kuchangia mawazo. Ndugu yangu mmoja hakumaliza wikiendi yake vizuri jana. Kisa ni kuwa...
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Cardiff City vs Man Utd. Report England - Premier League Cardiff City 2vs 2 Man...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
za w'end wana jf.... Nina mchumba ambaye anaishi mkoa while I’m stayn in dar. tumekuwa tukitembeleana mara kwa mara ili kuyapa mapenzi yetu uhai na currently tunashughulikia uhamisho mmoja wetu...
1 Reactions
90 Replies
7K Views
sidhani kama hili ni umbo halisi la mwanadamu.. mchina atakuwa amehusika katika asilimia nyingi..!! wadada acheni kutumia dawa kuongeza hipsi kwa ajili ya kutafuta ufamous kwa wanaumeeee...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hata miezi miwili haijaisha Mchagga mwingine Gabriel Munisi, ameua na kisha kujiua kwa wivu wa mapenzi. Huu ni ulimbukeni kabisa wa mbunye. Tukuyu zimejaa dunia nzima, wee unahangaika hadi kuua...
11 Reactions
293 Replies
28K Views
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana MMU...! Habari zenu! ni siku nyingine tena niko katika harakati zangu binafsi za kufanya oral research... wiki hii kurunza limeangukia kwa raia wenzetu wa mkoa wa MARA, (KURYA PEOPLE!!!!!)...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wajamen hebu somen hiyo attachement ya kijana wa Rombo aliyeandika barua kwa FREEMASON ili awe tajiri na yupo tayari kutoa ndugu zake kafara na kawataja.(mods hebu iweke vizuri wadau waweze...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…