Marafiki wa kweli

Marafiki wa kweli

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,678
Hawana nia ya kujinufaisha,
wana upendo wa dhati,
kwao pesa sio msingi wa urafiki wao,
wanavumiliana,
wanafurahi na kucheza pamoja.

1468588_768692679822981_1463907912_n.jpg
 
sijui ni akili yangu ila nyuzi zako bujibuji nyingi(si zote) huwa sioni mantiki yake komedi si komedi, mzaha si mzaha,zipo tu kwa sababu zina muunganiko wa herufi,maneno na sentensi hivyo nasoma tu.samahani lakini.
 
client3 sio kila mtu anayepost anataka aeleweke, wengine tunaondoa stress za watawala wetu. Tumejaribu kulia, machozi hayatutoki
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom