Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar wakuu Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe, Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku...
20 Reactions
214 Replies
7K Views
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu. Kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Kwa wale wadada waliowahi au wenye wapenzi wakurya watakubaliana na mimi juu ya hili ila tunataka mwanamke awe mwaminifu tu asiwe konakona au mduara utakula mema ya nchi. Naombeni mfute ile dhana...
4 Reactions
320 Replies
56K Views
Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya 1. Tumia condom 2. Tumia condom 3. Tumia condom Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda...
16 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki...
18 Reactions
319 Replies
31K Views
Tangu tuingie kwenye mahusiano na huyu mtoto wa kinyawezi, nimekuwa nikipata shida sanaa hasa wakati nikiwa nae coz, mara nyingi anapenda mimi nimchagulie kila kitu. Hata nikimuomva papuchi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Binti mwenye ndoa yake changa kaja kulalamika kikaoni kwamba mumewe hafanyi shughuli yoyote wakirudi nyumbani japo wote wanafanya kazi na wanatoka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni. Wanaishi...
14 Reactions
101 Replies
3K Views
1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku. 2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Wa kutumia pesa zako ukitoa mama, ni mke wako. Msininukuu vibaya, namaanisha mke uliyemtoa usichana ukaiona damu yake. Mwisho wa nukuu. Naungana na ndugu zangu Natafuta Ajira pamoja na R Heriel...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Hii imekaaje wakuu, mbona km tumeoa wake za watu?
14 Reactions
309 Replies
19K Views
Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Yaani eti alinipa namba naipiga ameni block hii inamaana gani. Namimi nikaiblock. Sasa sijui nini nitatokea
4 Reactions
19 Replies
592 Views
Nina rafiki yangu tulifahamiana kwenye mitikasi ya utaftaji wa maisha, huyu rafiki yangu tumekua tunasaidiana mambo mengi sana. Kuna kipindi alipata tatizo kubwa sana alijitahidi kuomba msaada...
13 Reactions
116 Replies
12K Views
JINSI YA KUEPUKA KUBAMBIKIWA WATOTO NA MKEO AU MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wenye nguvu (Alpha Male) hujua Mtoto wake NI Yule aliyemzaa, mwenye damu yake na sio vinginevyo...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
1. "UNAPASWA KUWA MWANAUME" Ikiwa nia yako ni kumtia moyo awe bora zaidi, haya si maneno sahihi. Maneno haya humfanya ajihisi kudharauliwa na kupuuzwa. 2. "NIPIGE KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI"...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nina msichana niko kwenye uhusiano nae yapata mwaka wa8 sasa, lakini kwenye maisha ya uhusiano kamili ni miaka6, wa 7 na wa8 imeikuwa ni miaka ambayo changamoto,misukosuko,kugombana na kufikia...
8 Reactions
80 Replies
3K Views
Igweeh! Nataka nikujibu Kwa ufupi Sana Rafiki yangu Mama Mzungu. Wanaume hawajiamini siku hizi Kwa sababu asilimia 90% walioa Wanawake wasio na Bikra. Ni Bora ujiamini Kwa soda ambayo...
14 Reactions
59 Replies
4K Views
Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Ndugu zangu.. Wanawake wamekua wakiforce wanaume tuwaonee huruma ili hali hawajui sisi wanaume hatukuumbwa hivyo. Wanaume tuliumbwa kua wagumu, wenye nguvu, mamlaka , viongozi na watawala...
1 Reactions
2 Replies
352 Views
Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…