Mkiliman
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 984
- 345
Heshima kwenu,
Naomba ushauri wenu juu ya jambo hili:
Kwamba, ninaye mpenzi wangu wa kike na tumekuwa kwenye mahusiano mema kwa muda wa miaka miwili sasa. Mahusiano yetu yamekuwa bora wote, lkn leo (10/01/2014) ghafla niliingia kwenye Whatsup page na kukuta avatar ya mpenzi wangu imewekewa picha yenye fremu na ndani ya fremu amepiga picha kijana wa kiume na yeye (mpenzi wangu) wakiwa wote humo.
Nilipouliza kwa upole, nilijibiwa kuwa yule ni kaka yake, na ile picha ametengeneza huyo kaka na alipotumiwa (just jana ndio ndio imetumwa) akaamua kuiweka kama avatar yake.
Honestly, I became furious kwa jibu lile, and I never believed that she was telling the truth. I plan to meet her this evening for discussion and decision.
Naomba msaada wenu as what I'm supposed to do.