Kwa nini nahemahema sana nikimaliza?

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
695
12
Wajameni hivi kwa nini nikikojoa uhai nahema sana? Mbona sijakimbia kwa nini nihemeheme hivi na kuchoka sana.nahisi presha inanipanda kidogo jamani, sitakufa juu ya kifua cha mtu kweli?
 
:tinfoil3:mmh !!!
hatar kubwa namna iyo dah.....lakini ni kama kawaida vile au unahema saaaaaana km fuso linapanda mlima kitonga?
may b umenenpa sana?
labda hauna mazoez....even joging ufany ndo km kitu kdg tu kinafanya damu yako iende faaasta!!!!!?
labda unatumiaga minguvu zaidi katika KAZI ile?

ushauri'
fanya mazoezi japo kukimbia uwanja round mbili kwa siku au kama waweza kwenda gym basi tumia trade mill kwa dakika 15 iv kwa speed ya 7.5 hope wl make +ve result in ya pbm!!!!!!.manake sikudanganyi kakangu shost atakua anakereka na hayo mapumzi yako like .mmmmmmmmnhhh mmmmmmmmmmh mmmmmmmh .....afta gwaride........yani mapumzi hayoooooooooo km yule mnyama.......inaboa kdg japo si sana!!!

2.usitumie nguvu nyingi sana kwenye ile mambo .just ,make t softttt not harder kama unachimbua lami!!!!!!!!!!!1

yeah thats t!!!!!!
pa1
 
Kweli mi ni mnene wa kilo kama 100 hv na mazoezi si ki vile ofisi inabana sana.Anyway nashukuru kwa ushauri nitajitahidi angalau nipunguze bia na mdudu na kuanza tizi hata nikirudi nite, kweli nahisi siku moja nitakata moto juu ya mzigo.
 
Wajameni hivi kwa nini nikikojoa uhai nahema sana? Mbona sijakimbia kwa nini nihemeheme hivi na kuchoka sana.nahisi presha inanipanda kidogo jamani, sitakufa juu ya kifua cha mtu kweli?
mimi sina ushauri ila nimepapenda hapo tu pa red, haha haha
 
Pole sana kiongozi. Inaonekana huna mazoezi ya kutosha. Jaribu kujiimarisha kwa mazoezi zaidi. Mi nafanya mazoezi zaidi ya kukimbia na yananisaidia sana kwe hizo pilika.
 
:tape2:

Wajameni hivi kwa nini nikikojoa uhai nahema sana? Mbona sijakimbia kwa nini nihemeheme hivi na kuchoka sana.nahisi presha inanipanda kidogo jamani, sitakufa juu ya kifua cha mtu kweli?
 
Hahahahahahahahaah!
Wajameni hivi kwa nini nikikojoa uhai nahema sana? Mbona sijakimbia kwa nini nihemeheme hivi na kuchoka sana.nahisi presha inanipanda kidogo jamani, sitakufa juu ya kifua cha mtu kweli?
 
Askofu usizibe mdomo! Toa tuisheni!

Kina dada mnaborekaga na mihemo kama ya huyu bwana baada ya mavituuuuuuuz? ................kuweni wakweli tujibuni!:target:
 
Kweli mi ni mnene wa kilo kama 100 hv na mazoezi si ki vile ofisi inabana sana.Anyway nashukuru kwa ushauri nitajitahidi angalau nipunguze bia na mdudu na kuanza tizi hata nikirudi nite, kweli nahisi siku moja nitakata moto juu ya mzigo.
duh hiyo noma kilo mia? anza mazoezi asubuhi amka mapema sana ruka kamba kwa dk 20 kila siku halafu punguza bierre na kitibaridi madhara yake ni kwamba utanenepa sana mwisho wake utaishia kuwa na mapresha halafu ukipiga bao moja tu mtarimbo doro na unaishia kuhema na kukoroma. Utakimbiwa kaka piga tizi watakusaidia wenye pumzi
 
hahahaha! mimi binafsi napenda hizo pumzi, zinatia hamasa! mimi hupiga kelele sana lakini huwa nawahi kujiziba na pillow. ile kitu usiimezee ndani utaumia, inabidi uheme sana au piga kelele! ha ha ha! hapo vipi?
 
Hahahahaaaaaaaaa umemsikia Fitina Ponza wa clouds nini kuwa wapo wanaopiga kelele mpaka majiarani wanakasirika? Kweli vimakelele hivi vinatia hamasa kinoma.
 
hahahaha! mimi binafsi napenda hizo pumzi, zinatia hamasa! mimi hupiga kelele sana lakini huwa nawahi kujiziba na pillow. ile kitu usiimezee ndani utaumia, inabidi uheme sana au piga kelele! ha ha ha! hapo vipi?

People mbona hamko serious na matatizo ya wenzenu..nimejikuta naangua kicheko hizi comment
 
Kweli mi ni mnene wa kilo kama 100 hv na mazoezi si ki vile ofisi inabana sana.Anyway nashukuru kwa ushauri nitajitahidi angalau nipunguze bia na mdudu na kuanza tizi hata nikirudi nite, kweli nahisi siku moja nitakata moto juu ya mzigo.

Duh!

Ushawahi isikia Mercedec benz ikipanda kitonga huo mlio inaotoa nadhani unafana sana na mhemo wako 100 kg man una urefu wa ft ngapi?
 
duh hiyo noma kilo mia? anza mazoezi asubuhi amka mapema sana ruka kamba kwa dk 20 kila siku halafu punguza bierre na kitibaridi madhara yake ni kwamba utanenepa sana mwisho wake utaishia kuwa na mapresha halafu ukipiga bao moja tu mtarimbo doro na unaishia kuhema na kukoroma. Utakimbiwa kaka piga tizi watakusaidia wenye pumzi

Hio aifanyayo ni tizi tosha, wasomi wasema bao mmoja, ni kama 200 meters dash, kwa hivyo mkuu ongeza mabaooo, na tena kuna faida zingine nyingi..............
 
Back
Top Bottom