Ninakula zangu viaz hapa kibarazan
braza kaja akanambia 'masumbuko
mi leo nasafir nmepata dili la ghafla
ivo hapa geto utabak peke yako
kuwa makin' nmefurai vbaya mno
kuskia ivo nkasema...
If boy cries for a girl, that doesn't mean he is stupid,
If a boy can move on to another girl, that doesn't mean he is stubbon,
If a boy get depressed for 'one girl' that doesn't mean he is a...
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:pray2::pray2::pray2::pray2::pray2::pray2:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jf party jamani jumamosi, Thanks guys for the support kwa wale mliolipa na...
Hebu fikiria:
1.Uko ndani ya ndoa,mwaka wa kumi sasa na hamjapata mtoto,mkeo hospitali zote kamaliza na anaambiwa hana tatizo,kila akikwambia na wewe ukapimwe hutaki unajidai huna tatizo,ndo nini...
Naamin hamjambo na mnaendelea vzr na kutusaidia ushaur sisi wenye matatz ya hapa na pale.
ni miezi minne imepita toka nimchukuwe mdogo wangu (mtoto wa baba mdogo) kijijini baada ya yeye kufeli...
Mwanaume akikutongoza ukamwambia Hamtafanya Mapenzi kabla ya Ndoa...Atarudi Home atawazaaa,atakutafutia mchanga wa macho ili ulainike..atajichanga,atanunua Pete la Bati atakusapraiz,na washkaji...
Jamani mwenzenu ninakereka sana na rafiki wa mume wangu. Yaani huyu jamaa hana kazi kila wakati ni kumpigia mume wangu simu, kuomba pesa na hata kutaka wawe wanakutana nae. Humfuata ofisini na...
Ilikuwa ni jana(20/01/2014) majira saa nne na nusu asubuhi katika hotel ya landmark pale ubungo riverside ambapo muda huo tajwa (10:30) wanasemina walikuwa wametoka kidogo pale nje ya ukumbi...
Nadhani wengi mmeshausikia huo mlio. Ni mlio ambao unatengenezwa kwa kukutanisha sehemu za juu na chini za mdomo (lips) na kuzifunga na hatimaye kuachia hewa iliyokusanyika kwa kuzifungua sehemu...
Twisen noma!mtoto wa kike anaomba ruhusa kwenda kwa mwalimu wake kusoma maths,yaani topic ni kutoa na kuongeza!mwanafunzi anatoa 5000 na baada ya siku tumbo limejazwa mimba na mwalimu!hii ni haki?
Mwanaume anafungua account yake:
Account successfully created
Name : Mentor
Age : None
Country : None
State/Region : None
Quote : If you need waec runz pls halla me
Suggested Friends : 1
Friend...
Naomba tuwashauri hawa akina Dada na vijitabia vyao.
1.Wanaopiga picha za' Utupu.
Hivi inakuwaje mdada unakubali kujifotoa au kufotolewa picha za utupu?Huoni hata haya.Imekuwa jambo la kawaida...
Dunia inaomboleza,inazimia,ulimwengu unadhoofika,unazimia watu wakuu wa dunia wanadhoofika.Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanao ikaa;kwamaana wameziasi sheria,wameibadili amri,wamelivunja...
Habari zenu wadau!
Kiribia kila kitu hapa duniani kina faida na hasara!
Faida kubwa ya condom ni kuzuia maambukizi ya ukimwi kunako tendo la 6x6, pia huzuia mambukizi ya magonjwa mengine...
Najua utapitia kwenye uzi huu, nimechukua uamuz huu nikiwa na akili timamu kabisa. Najua ni mbali tulikotoka tumepita mengi sana lakin kwa hii tabia ulioanza hapana mama mm nijiuzuru acha...
Kwa kifupi sana. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, tena amenizidi umri kwa mbali sana. Alikuwa na mke akamkimbia kwa sababu ya ukorofi, wote walikuwa wakorofi, lkn mwanamke alizidi ukorofi na kuamua...