Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Najua utapitia kwenye uzi huu, nimechukua uamuz huu nikiwa na akili timamu kabisa. Najua ni mbali tulikotoka tumepita mengi sana lakin kwa hii tabia ulioanza hapana mama mm nijiuzuru acha nikupishe. Najua ntapata shda kidogo kukabiliana na hali ya sasa lakin potelea mbali. Nmeamua kuuweka hapa huu uzi ili ujue kabisa kuwa uamuz niliouchukua namaanisha kweli. Ni bora nikatoe posa kwa kahaba huenda anafanya ile kaz kwa dhiki lakin sio ww huna hata haya lol..........! Sitak hata uje umguse mwanangu nakuchukia toka moyon heri niishi mamba kuliko ww. Najua utaisoma hii thread