julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Habari zenu wadau!
Kiribia kila kitu hapa duniani kina faida na hasara!
Faida kubwa ya condom ni kuzuia maambukizi ya ukimwi kunako tendo la 6x6, pia huzuia mambukizi ya magonjwa mengine yanayoambukizwa kwa njia ya ngono na kuzuia mimba zisizotarajiwa (family planning), mbali na faida hizo jamani mimi nimebaini madhara kama ifuatavyo:-
Kama utakuwa muumini wa condom kama mimi kwa muda mrefu siku ukivua hutomfikisha mwenzio kileleni kama ilivyokuwa kawaida ukiwa na mpira huo, mwenzenu nimeaibika juzi kila nikijaribu namaliza kama nimefungiwa motor!
Hapa sijui nafanyaje kunusuru hali hii mpira ndio tumevua, baada ya taratibu kufuatwa uwanjani mimi ni kero! nimekumbwa na kadhia hii kila nikimuona mchumba najidai naumwa! Sikatai faida zake lakini hili tatizo nalitatuaje sasa? weekend ndio kaamua anakuja kulala kwngu, hapa siku naona zinakimbia, natamaani kusafiri lakini ndio haiwezekani sasa! ehm nipeni ushauri nifanye nini sasa kutibu hii kero?