mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Kwa kifupi sana. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, tena amenizidi umri kwa mbali sana. Alikuwa na mke akamkimbia kwa sababu ya ukorofi, wote walikuwa wakorofi, lkn mwanamke alizidi ukorofi na kuamua kuikimbia nyumba yake baada ya kukosa uvumilivu.
Tukamsaidia kurudiana na mkewe ikashindikana. Sasa hivi a natafuta mke wa kuishi naye (bila ndoa maana ya mwanzo ilikuwa ya kikatoliki).
Kapata mwanamke yuko willing kuishi naye maana wote wana ndoa za mwanzo za kikatoliki. Wakiwa wako kwenye mchakato wa kujuana, mwanamke anagundua jamaa kamzalisha house girl wake, ndani kuna mtoto wa two years ambaye naye kamzalisha house girl wa mwanza na kumfukuza huku akichukua mtoto wake.
Mwanamke anapouliza anajibiwa kuwa " Mimi natafuta mtu wa kulea watoto na nyumba yangu.
Mwanamke kambwaga amebaki analalama kuwa atakufa kwa stroke endapo mwanamke huyo atamwacha. Ana zaidi ya miaka 60. Naomba apewe ushauri nasaha maana hata Mimi naona atakufa peke yake ndani ya nyumba.