Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habarini wakuu, hasa wanawake hii inawahusu.Natafuta serious mchumba.kigezo cha kwanza awe mcha God (mtu wa maombi na sala asubuhi mchana na jioni, kufunga na awe mtu wa ibada), age kuanzia 25...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimefanikiwa kuwa na wanawake wa aina hizi mbili yaani wenye kazi na wasio na kazi yaan za kuwaingizia kipata. Mi nlichogundua mwanamke asiye na kazi anathamin sana pesa uumpayo hata kama ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyingine si ndoa, ni ndoano Mengine si mapenzi, ni ushenzi Pengine, ni wizi, ubezi, ubazazi Yakache, ya siku chache yasikuchache Mwingine si upendo, ni utando Mengine si asali, ni ajali Ni...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Ndugu zanguni mimi huwa napatwa na hasira kupita kiasi,Nikiudhiwa kidogo najikuta roho ishachafuka,nifanyeje ili niweze kuziepuka hizi hasira zilizopitiliza?? Mwanasaikologia ambaye yuko humu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda wenye ufahamu wanisaidie kuhusu hili. Nina mke wangu wa ndoa ambaye kabla sijamuoa nilimkuta na mtoto wa kiume wa miaka mitatu, mtoto huyo sasa hivi mkubwa na ameingia form one sekondari...
3 Reactions
131 Replies
16K Views
KHABARI GANI WANA MMU Mimi ni mfanyabiashara wa ndizi kutoka Mbeya (tukuyu) na kupeleka Dar na nina zaidi ya miaka mitatu sasa toka nianze hii biashara, mwishoni mwa mwaka jana 2013 biashara...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Wakuu habarin za jion! ningependa kujua kama kuna mathara yeyote ambayo yanaweza kumpata mwanaume endapo hatofanya mapenzi (tendo) kwa mda mrefu. ningependa nielezewe kwa pande mbili. kiafya na...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Jamani dunia hii mbaya. Kuna rafiki yangu kanieomba ushauri kuwa sasa ni miezi nane yeye na mumewe wanalala kitanda kimoja hamna kitu. Wanasalimiana tu asubuhi halafu kila mmoja anaanza. Jamaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello.....!!!! Its not fair.....!!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kaka akilalamika, kwa more story see http://www.nairaland.com/1605665/sister-beaten-up-boyfriendwhat
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Karne hii 21 wanawake wamekuwa wavivu sana katika kila vitu wafanyavyo. Wanashidwa kupika mpaka vyakula vya kitamaduni, ukiwaambia watwange maindi kwa ajili ya makande utawasikia wanasema kuhusu...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
WANAUME WENGI MPO HIVI Hebu fikiria: 1.Uko ndani ya ndoa,mwaka wa kumi sasa na hamjapata mtoto,mkeo hospitali zote kamaliza na anaambiwa hana tatizo,kila akikwambia na wewe ukapimwe hutaki...
19 Reactions
177 Replies
16K Views
Nimegundua mke wangu anatoka nje miez sita sasa kwa ushahidi wa kuwarecord kwa kutegesha recording kwenye simu yake baada ya kuchoka vitimbwi na kutopewa haki ya ndoa mara kwa mara na kuchelewa...
1 Reactions
78 Replies
8K Views
Live bila chenga nilinasa tukio hili maeneo ya jiji fulani Tz...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
1. Ana chat na watu kibao ila simu yake haina msg hata moja kila siku 2. Rafiki zake wengi ni wanaume tena waliomzidi umri 3. Huwezi kusikia anazungumzia mapishi 4. Anapenda kula mitaani 5. Hana...
2 Reactions
74 Replies
8K Views
Natafuta girlfriend umri 18-25. Awe Mwanza,ila asiwe mpenda starehe wala maisha ya anasa. Awe mcha Mungu wa dini yoyote na kabila lolote. Aliye tayari no zng ni 0788 05 11 12
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Duh hii kali ya mwaka, jamaa amemsomesha dada yake kutoka o-level hadi chuo kikuu hatimaye kapata kazi. Sasa brother wake kambadilika dada yake anataka alipwe pesa zake zote. Yeye kielimu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakati mwingine mbali
0 Reactions
1 Replies
815 Views
wasalaaam wana mmu,, kama kawaida kijana wenu nakuja nakamkasa kangu kwenu kwan naamin kuna watu wa aina tofaut na hivyo kutoa michango ambayo kias kikubwa inasaidia,, my gf ndo ivyo anamalizia...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Sidhani kama kuna sehemu wamesema ukipost picha za maisha yako kwenye mitandao ya kijamii basi we ni shoga cjui nini,as baadhi ya watu wanavyofanya juu yangu..hii ni acount yangu,haya ni maisha...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…