Habari wana MMU . nipo hapa Morogoro mjini baada ya mizunguko yangu nimeona nipumzike hapa kwenye pub moja (jina kapuni) nile ndizi za kuchoma na nyama ya mbuzi. Kuna baba mmoja amekuja ana...
Nani amekwambia ndani ya ndoa kuna, mashindano ya Miss Tanzania? Ndoa haina Lundenga kama Jaji. Ni wewe na Yeye basi. Mtu anapochagua ''kituko chake'' MUACHE, yeye ndoa najua kwanini kile Kituko...
Miaka ya 90 kurudi nyuma ilikuwa nadra sana kukuta mwanamke ana kitambi.
Ukimkuta mwanamke anatumbo kubwa wakati huo, lazima atakuwa ana mimba. Hali sasa inatisha. Wanawake wengi wana vitambi...
Mjini vituko wala visa haviishi, wewe ni mpenzi wangu wa muda mrefu tu kwenu nafahamika ndugu zako wengi tu nawafahamu, leo hii nimekukuta na huyu mjamaa unaniambia ni ndugu yako nikikubana sana...
Napenda Kuonesha Furaha Yangu Juu Ya Site Hii Kwani Nilikuwa Natafuta Mke Wa Kuoa! Kwasasa Niebahatika Kufanya Mawasiliano Na Akina Dada Wawili, They Are All Beautiful! My Hope Is That One Of Them...
Salaam
Ni yule yule wa kanaida, niliyetahiriwa hivi karibuni, kuna mtu amenizingua hapa MMU, yaani hapa nina hasira mpaka basi, nataka nimtukane matusi mazito ili hasira zangu zishuke. Hivi kuna...
Katika uzi wake wa "Dar hakuna mwanamke wa kuoa, mnaohitaji kuoa, mkaoe mikoani" Mshua's amedai kuwa "wanawake wa Dar hawana sifa za kuolewa na kuishi katika maisha ya ndoa hadi kufa na kuzikana"...
Yuko wapi mtu jeuri na Kiburi kama FARAO?
Yuko wapi leo hii Tajiri wa Matajiri kama SULEIMAN?
Yuko wapi mtu Mzuri na Mtanashati kama nabii YUSUF? Yuko wapi Mwanamke mrembo na Mdanganyifu kama...
Wanajamvi,
Kuelekea mwishoni kabisa mwa 2013, naomba tutafakari juu ya hii kitu ambayo kila mmoja wetu anachakarika katika kuitafuta; FURAHA.
Je umeipata au umeikaribia?
Ilidumu kwa muda...
Hii nimeikuta mahalali.
LADIEZ YOU MUST READ THIS !
TABIA ZA WAVULANA PLAYERS!
1. SMAT
Hataki kupatikana akiwa kawaida hata kama ni midnight, Yaani ni msafi hadi anachana nywele akienda kulala...
HOLD ON! Nani amekwambia ndani
ya ndoa kuna
Mashindano ya Miss Tanzania???
Ndoa haina
Lundenga kama Jaji..Ni wewe na
Yeye basi...Mtu
anapochagua ''kituko chake''
MUACHE,yeye ndoa
najua kwanini...
Watu wengi wanafikiri kuoga tu inatosha, na ndio maana humu jamvini hutokea kesi za watu kuachana na wapenzi wao kwasababu ya kunuka jasho kikwapa au kuwa na kaharufu fulani kabaya ambako...
Jamani kulingana na taarifa za watafiti kutoka marekani wanasema inachukua dk 3 tu kumridhisha mtu kimapenzi!Chini ya dk3 hakuna raha kwa mwanamke.Hizi dk3 hadi13 hazihusishi foreplay,yaani mambo...
Wana mmu,
Hili jukwaa kwa siku za karibuni kuna threads zime-emerge mpaka mtu unashindwa kuelewa tunataka tushauriane nini?
Unakuta mtu anaanzisha uzi eti "Kutoa bikra sio lazima mwanamke, ukiwa...
Nimekutana na kijana mmoja hapa Rafiki yangu, akaanza kunisimulia matatizo yake na Mimi nikaamua bila hiyana nije hapa kwenu kumwombea ushauri.
Anasema ana umri wa karibia 30, hajaoa ila kwa...
tembea uone mengi,nikiwa nimetulia saloon napata huduma, wadada wawili ndani ya saloon ile wakawa wanajadili mahaba ya wanawake wa kizanzibari,mengi yalizungumzwa na mimi sikuchangia chochote japo...
habarin wandugu,,,
nina mpenzi wangu na kwa sasa ni mjamzito wa mwez na zaid,,nilikuwa naomba kufaham ni mambo gani ambyo c mazur yanaweza tokea kipind cha ujauzito wake ili yatakapotokea...