Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari zenu wana MMU Kwa miaka mingi nilikuwa nikisikia story juu ya wanawake ambao hawajakeketwa,kiukweli nilikuwa najisikia uchungu mpaka ikafikia kipindi nikaanza kusoma na kujua sababu za wao...
1 Reactions
39 Replies
26K Views
Haya ni jana tuu, nimekuta mshakaji anapunguza mawazo kwa kilimanjaro kama ya tisa hivi, mwanamke kamwambia mumewe wasiongozane sababu hajui kuvaa, aliponiuliza afanye nini sijapata jibu hadi...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Swali la Kijamii: Hivi hili la wasanii na wanafunzi kupiga picha za utupu na zikaishia kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii chanzo chake hasa ni nini? Au ni kama mashindano ya fasheni? Hivi ni kama...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Hivi karibuni niliweka jambo linalonisibu lenye heading uchumba 3years ila........ Nawashukuru wote mlionishauri and nimefanya maamuzi ya kumwambia ukweli na nilitumia hekima kidogo katika hlo ila...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama ana kazi basi ujue ndio inayomtia kiburi. Mkikorofishana usiende kushitaki kwa wakwe zako, wakwe zako hawatakusaidia kwani Huyo ni mtoto wao yaani nidamu yao hawawezi Kuwa upande wako...
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Mimi n mvulana, Nina age ya 26, Im black...naitaji mchumba, Awe faithfull na mkweli,awe na uwezo wa kufikiri, Awe tayari kuwa na mahusiano. Kama upo tayar ni pm...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katka mapenzi, 1. mapenzi yanaweza kuwa matamu endapo uliyemkabidhi moyo wako anaitunza furaha yako, 2. pia mapenz yanaweza kuwa machungu kama uliyemkabithi moyo wako haufurahishi moyo wako...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Namaste:pray2: Nisiwachoshe na intro manake hii khabar yenyewe ni ndefu sana, Resolution yangu ya mwaka huu 2014 ni more CLASS(As if class can be bought! class is just a social prejudice...
16 Reactions
114 Replies
10K Views
Natafuta rafiki awe anatokea Tanga, Kabila mdigo, Asizidi umri wa miaka 21 Awe wa jinsia yeyote ile[ME/KE]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau,sasaivi TBC HABARI Wanasema kuwa kufanya mapenzi na wanaume wengi husababisha saratani ya kizazi, na haswa wanawake,huwa hawajigundui mapema,wanakuja kugundua ipo hatua ya nne...Duuuu hii...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
namtafuta msichana awe mwanza /mwanamke wakutoka naye weekend hii. kama upo tayari ni p.m
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mapenzi ya siku hizi yamekuwa rahisi sana hayana "value" kama ya zamani hasa kutokana na utandawazi kuwatawala kiasi kikubwa cha maisha ya binadamu kiasi mtu siku hizi,mpenzi wake amvalue kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni kupata mawazo yenu hasa ninyi ambao mmewahi kusalitiwa zaidi ya mara moja na wapenzi wenu halafu mkasameheana na kuendelea kuishi pamoja, je imani yako kwa mpenzi au mwenzi wako...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni saa kumi jioni, ndio nimeamka kutoka katika usingizi wa mchana. Hapa nilipo nimesimama dirishani, nikitazama mandhari ya huko nje, kuna manyunyu kiasi na ngurumo za hapa na pale. Hali ya...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Sometimes uwa tunataniana na mpenzi Wangu , Unakuta yeye anamtaj mtu Fulani kuwa anampenda sana, Basi na Mimi uwa namtajaga rafiki yake kuwa nampenda sana, Cha ajabu nikimtaja rafiki yake tu...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Napenda sana kumshukuru Mungu na wanajamii kwa mchango wenu,japo kuna wengine walinikejeli,kunitania na wenye wema na mimi walinitia moyo,na wengi walijitokeza kuni pm na pia email,nawashukuru...
9 Reactions
91 Replies
7K Views
kwanza kabisa najipongeza kwa kupima HIV leo,ambayo ni mara ya kwanza , japo lazima nikiri kwamba uoga ulikuwepo mbali na kwamba historia yangu kimahusiano haikuwa ya kihatrishi kiivyo, nawashauri...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Salaaaaaaaaaaam! Polen kwa majukumu wana MMU,leo nimeamua kufunguka yaliyomo moyoni mwangu.Nina mchumba ambae nipo nae kwa muda wa 3years na mwaka huu ni wa nne, kiukweli she love me much...
1 Reactions
110 Replies
9K Views
..........
1 Reactions
43 Replies
4K Views
WARNING TO ALL MEN!!... 1 Brazilian hair = 68 bags of cement 1 Handbag = 10 Tankers of water 1 Quality shoe = 1 Trailer of sand 1 iphone 5 = 6500 Blocks Just these are enough to build a...
29 Reactions
153 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…