Natafuta rafiki wa kidigo

Natafuta rafiki wa kidigo

mkananguja

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
55
Reaction score
3
Natafuta rafiki awe anatokea Tanga,

Kabila mdigo,

Asizidi umri wa miaka 21

Awe wa jinsia yeyote ile[ME/KE]
 
Jinsia yeyote? Kwani wewe unazo zote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom