Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 693
Hivi karibuni niliweka jambo linalonisibu lenye heading uchumba 3years ila........ Nawashukuru wote mlionishauri and nimefanya maamuzi ya kumwambia ukweli na nilitumia hekima kidogo katika hlo ila alinielewa the way nilivomweleza,nawashukuru wote kwa ushauri,nimejifunza unaweza ukafanya jambo fulani kwa wakati fulani likakugharimu but all in all thank u for ur advice,now im a new man,future oriented man and i know its my fault for the relationship breakup but tumekubaliana and kila mmoja yupo peace............. Tumekubaliana kuachana so i thank u and We are peace na atabki kuwa rafiki yangu.