Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naanza kwa kusema "Si vema huyu mtu awe peke yake", na kwa sababu hiyo Mungu aliweka ndoa (Mwanzo 2:18-24). Kwa hiyo,"Apataye mke apata kitu chema; naye ajipatia kibali kwa Bwana……. Mke mwenye...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Eti akizaa utamzeesha, Anataka awe na sauti kwenye familia, Anahisi amekosea kuwa na wewe, Asiyeridhika na penzi unalompa, wivu wa kupindukia, Anaona unamsaliti kila mara hii ni kutokana na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilihuzunika sana mama mwenye nyumba alipotamka maneno haya. Hii imenitokea nilipoenda kwa rafiki yangu niliyesoma naye O level miaka ya 90. Nilishangaa kuona ingawa yeye ndiye aliyeandaa...
10 Reactions
90 Replies
9K Views
Leo asubuhi nilitumia usafiri wa jumuia kufika kwenye sehemu yangu ya kibarua. Nilipanda usafiri huo njiani,kwa bahati mbaya sikubahatika kupata siti nikalazimika kusimama japo kwa nafasi. Ile...
17 Reactions
115 Replies
10K Views
Kwa wakazi wa Morogoro,Wale wapenzi wa vigodoro ratiba imekaa vipi?kesho na jumamosi pande zipi?
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Sikuwahi waza naweza lia sababu ya mapenzi,bt jana nimelia machozi an to be honest mapenzi yanauma. But why?love is not supposed to hurt....nimemzungusha for almost a year,tumeanza kama utani...
1 Reactions
43 Replies
11K Views
Kwa heshima kubwa, nawaheshimu sana wanawake, sina nia ya kuwavunjia heshima hapa, naomba mnipe japo mwanga kidogo, ukienda bukoba, guest house nyingi zina mipira, yaan kama ile wanazowekewa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wana MMU Mi nikiwa naumwa hua nahamu sana tena saana ya kufanya mapenzi tofauti na nikiwa siumwi. Nikiwa hoi tena serious lakini hali hiyo inantokea sana . Mara kwa mara mgegedo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hebu fikiria umesoma hadi umemaliza Elimu ya chuo Ukakutana na jamaa mmoja ambae mnaanzisha uhusiano Baada ya kuanzisha mahusiano na huyu jamaa ulifanikiwa kupata ajira na maisha yenu ya...
5 Reactions
195 Replies
14K Views
Inasemekana mwanamke aliyelelewa katika familia ya wazazi wote wawili anapoingia kwenye ndoa anakuwa na ufahamu wa juu kuhusiana na majukumu yake kama mke kwani tokea akiwa mdogo amejifunza hilo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tuliachanaga miaka mingi sana kwa hiyo nilijua sina hisia yoyote naye tena. Alivyonijulisha anaolewa anaomba mchango wa send-off nikamchangia kama kawaida na send-off nimeshiriki sherehe juzi 9...
0 Reactions
119 Replies
12K Views
Nawatahadharisha, kuna rafik yangu baada ya kupigika na maisha toka mwaka juzi akapata wazo la kuanzisha biashara ya mafumanizi. Ameajiri wadada 5 kinachofanyika anawatumia hao wadada kuandaa...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari za majukumu wana Jamii forum. Kuna jirani zangu karibu na maeneo ninayoishi, mwanaume hawajibiki katika familia, ulipoonza mwaka huu mwanamama akamwambia mme kuwa mwaka mpya na mambo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Sina hamu.... Yaani visiku vihache tu jukwaani nikakutana na kiziba mdomo. Ni ku like tu ndiko walikoniachia. Hamna kukoment wala kuanzisha thread. Bora nijirudie zangu kwenye jukwaa la...
18 Reactions
121 Replies
9K Views
za wakati kama huu wakuu, Natumaini ni kwema kabisa. The day is almost coming to its endand i am grateful for being alive and blessed enought to see this day. I just want to thank our God Lord and...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana JFsalama mimi ni mwanaume nilie kamalika Natafuta msichana wa kunipa raha nitakapo muda wowote ila sio kuoana siitaji kuoa naitaji mapenzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mke mwema.natafuta mke mwema lakini mwenye mvuto.anayejiamini kwamba ni mrembo sana but mwenye tabia njema ni pm nw.mm nina degree mbili za biashara.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu salamu, Jana saa mbili kamili usiku, Etiennes Club kaunta ya Juu:Bia ya baridi, glasi ya moto, mhudumu mweupe. Kijana mmoja akatokea akawakuta rafiki zake kaunta, babu nawaangalia tu na...
30 Reactions
704 Replies
49K Views
Hii kwaaliyetayali nahitaji mtu wakuoa mm naumli miaka 24 yeye awe namiaka kuanzia 18-24 kwaaliye tayali tuwsiliane 0713281459 au emeli Tobiasaloyce@gmail.com sms zitajibiwa
0 Reactions
2 Replies
888 Views
zajioni aisee eti ni kiaje kwa huyu gash (manzi) angu siku hivi kila tukimake love yaan ile style ya akipiga magoti den me natokea kwanyuma nikiingiza poa nikichomoa lazima apumue vp hili...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…