Ndugu zangu wahaya, hebu nifumbueni macho

Ndugu zangu wahaya, hebu nifumbueni macho

kisungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
788
Reaction score
266
Kwa heshima kubwa, nawaheshimu sana wanawake, sina nia ya kuwavunjia heshima hapa, naomba mnipe japo mwanga kidogo, ukienda bukoba, guest house nyingi zina mipira, yaan kama ile wanazowekewa watoto wanaokojoa kitandani...! sasa sikujua... si nikapata kabint bwana ohooo ile napiga cha pili katikati ya mchezo maji pwaaaaaaaaaa, tena mengine pwaaa, hivi huku ndo kufika kileleni ama??? ikabidi nifanye tena utafiti, nikawa nauliza washkaji hii imekaaje? wakasema ndo hivyo ni kama desturi.. mh nikatafuta mwengine bwana.. si unajua hawa wadada kuliko akunyime mchezo atakunyima chakula,.. baasi bwana baada ya muda kidogo maji haayo mengi ajabu amekojoa hee, hebu tuambieni ndo nini hii, ni kwa sababu ya matoke au ni senene au kwa sababu mko karibu na ziwa victoria, ki ukweni sijawahi kuona sehemu nyingine hii mambo kiukweli! usikwazike lakini tupeni uzoefu!
 
duh mi nawapenda jamani acheni tuuuuuuu! mkuu ni_pm kwa maelezo nami nikafaidi...... i cant wait!
 
Mkuu kyanakyomhaya njoo huku wanaleta utani......!!!!!? Mbwenu ugwu atakubimanya ibyu-kushesha amaizi?
 
Last edited by a moderator:
Mie nimelala hizo guest sijaona mipira ila ww umeenda tu siku chache tu ukaona,nikusaidie tu,ili upate maelezo mazuri waulize madaktari ni mechanism gani ama chemical gani inaaccerelate ilo jambo ...ama hii mada yako ihamishie kabisa jukwaa la Jf doctor vinginevyo utaonekana unalenga zaidi offensive kuliko kupata elimu
 
Same old shit... Na ni uongo mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom