Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hakuna kitu kigumu kama kumtambua mwanamke. Mfano, maana halisi ya kukaa vizuri kwa mwanamke ni nini? Kwa sababu akiwa nje ukimwambia akae vizuri atabana miguu. Ukiwa naye chumbani ukamwambia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa Siwezi Kumwambia Mpenzi Wangu Jambo Lolote Linalohusu Mapenzi, Niliogopa Angeweza Kukasilika Ilinilazimu Kumuandikia Barua Haijalishi Kama Kila Siku Tunakutana Na Niliogopa Sana Kudai...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Kwa uchunguzi nilioufanya kwa kulinganisha habari moja na nyingne kuhusu watu nnaowafahamu hususani kuhusu mastaa wetu hapa nchini, ni kwamba wengi wao kiafya sio, nimefikia kuamini kwamba katika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Watu wengi wanadhani kwamba kuolewa au kuoa kutawapa furaha na amani hasa baada ya kumpata ampendaye. Ukweli ni kwamba jambo hilo lina ukweli kwa kiasi fulani, lakini kwa upande mwingine kuna...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Za usiku wana MMU, Kiroho safiiiii,napenda nifunguke kwamba moyo umemdondokea and i feel something for mtajwa hapo juu, Money Stunna utakapoona huu u'thread basi uje utoe statement...
15 Reactions
652 Replies
57K Views
Once a group of 50 people were attending a seminar. Suddenly the speaker stopped and started giving each one a balloon. Each one was asked to write his/her name on it using a marker pen. Then all...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
MTUNZI: JOSEPH SHALUWA ILIPOISHIA... Msisimko alioupata ulikuwa mkubwa sana. Pamoja na kufikisha umri wa miaka 22, akiwa tayari ameshamaliza elimu yake ya kidato cha nne, hakufikiria kabisa...
0 Reactions
5 Replies
21K Views
Huu msemo ni kweli kabisa mwanaume ukiwa na pesa hata kama utakuwa mbaya utavumiliwa tu na utaonekana umesoma hata kama hujasoma utaitwa msomi muda wote wambembelezwa ukipumua waambiwa pole baby...
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Hodi hodi naingia uwanjani kuwasilisha. Uzoefu wangu unaonyesha wanawake ambao wana mojawapo ya mapungufu yafuatayo hudumu katika ndoa zao. (a) Sura na maumbile yao si mazuri sana, ama (b)...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jana nimepata msg toka kwa mtu nisiyemfahamu ikisema " dada nisaidie elfu 15 tu mwenzio nafukuzwa chuo na wamesema sitaenda Btp kama nisipomaliza kulipa." Nikampandia hewani mtu huyo kujua ni...
20 Reactions
77 Replies
8K Views
Kwa kutumia akili yako, unafikiri kwamba ukiwa na rafiki wa kike unapata faida, faidi hizo ni zipi? au unafikiri ni hasara, hasara hizo ni zipi? Hii mada nimeikuta Nairaland japo mimi nimeongeza...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za jioni wana MMU, mwaka ndo huo unazidi kuyoyoma, una malengo yapi mie malengo yangu ni kununua kiwanja, kuoa.
1 Reactions
99 Replies
7K Views
Habari wapendwa,natafuta mtu wa ushauri nasaha aliyebobea katika kushauri masuala ya ndoa,nina tatizo katika ndoa yangu nahitaji msaada.asanteni
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume,kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui,kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii...
6 Reactions
68 Replies
7K Views
Ukirudi nyumbani unanuniwa pia unaitwa mlevi, kabla sijakuoa tulikua tunakesha msondo pamoja, iweje leo mnapenda kutuita sisi walevi, saa ingine tunakunywa hata bia mbili tu unakuta...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaam, Hapa ni mwalimu toka arusha natafuta mchumba wa kuoa, Umri usiozid miaka 26, Zaidi awe na kaz na heshima!
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni sahihi kwa wanandoa kila mnaloongea kufikisha ukweni? yaani namaanisha mwanamke afikishe kwao na mume afikishe kwao, haijalisha hayo mtakayoyaongea mazuri, mabaya, yanawahusu hayawahusu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Are you a nice guy who has always wondered why the cocky guy -- the one who barely appears interested in the girl -- is usually the one who gets the girl? Have you suffered from hearing the...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa. Tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakini ghafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake...
0 Reactions
127 Replies
13K Views
Habari wana MMU. Leo nimekutana na kali ya kufungua mwaka. Kwa muda mrefu tu tumekuwa tukiwasiliana na kuchat kiasi cha kuzoeana na msichana fulani hivi lakini hatukuwahi kuonana. Sasa tukapanga...
0 Reactions
194 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…