Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heshima kwenu wakuu! Kwakweli siwafaham kiundani ndugu zangu wahehe zaidi yakuwasoma kwenye historia! Ila napata sifa za mabinti wakihehe' pia kuna wengine wananionesha hata mifano ya ndoa za...
1 Reactions
91 Replies
13K Views
Habari wa ndugu, Ma bibi na mabwana eeh bana ngoja niseme kitu japo najua kitawakera baadhi ila sina lengo baya nia ni kuelimisha hili japo linawahusu sana wadada, pia baadhi ya wakaka, Hivi...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Ukweli unauma tena unauma sana japoakuwa mimi ni mtanzania ila nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko. Kizazi hiki chasasa vijana tumekuwa wavivu,wezi,walalamishi na tunaopenda mishahara...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Katika ndoa zetu siku hizi ni kweli wanaume ndio wanaoongoza kwa kutoka nje ya ndoa zao? na ni kweli kwamba wanaume ndio wanaoumia zaidi pale wanaposikia mke wake anacheat katika ndoa? Naombeni...
1 Reactions
106 Replies
11K Views
kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa na kula aafu tukaagana...
2 Reactions
60 Replies
5K Views
Najua mtasema ohhh ngoma etc Vipi mabinti wa kule hulka zao? Kama ni professional ana kazI etc Lete experience na maoni yako...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari? Vipi mfano unapokea meseji kwenye simu yako, unaangalia unakutana na maneno kama: "Hi darling, nafurahi kuwa u mzima, please naomba jioni tukutane, uniambie mapema utapenda hoteli gani...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari zenu wadau, nimekumbana na hadithi hii sehemu, na nimeona si vibaya endapo tukala pamoja kisa hiki na kujadili mambo mbali mbali ambayo yanaweza kuwa ya msingi katika kukabiliana na wanaume...
8 Reactions
111 Replies
10K Views
Habari Wanajamvi. Katika kuhakikisha siku ya wapendanao - VALENTINE DAY inakuwa ni nzuri na yenye kukumbukwa daima, Kampuni ya EDMARK inayotengeneza VIRUTUBISHO kutoka Malaysia, inakuletea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU, Kuna binti moja nimesoma nae chuo kimoja na darasa moja na wote tumemaliza mwaka mmoja.Huyu binti alikua akinihusudu sana kiasi cha kunitumia sms za mitego mara kwa mara...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Napenda na mi nitoke na mdada kama marafiki zangu walivo jiandaa wao, Yoyote aliye tayari Niombe kumuarika aje dar hata kama yuko mkoa Kwa aliye single tu karibu Kwa pm...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana MMU herini ya mwaka mpya! Nawapenda sana, Haya naombeni mnijibu swali langu hili kama mapenzi/upendo ni fadhila?. Sijui kama mtanielewa lakini naombeni mnielewe tu manake nimekuwa nakosa...
0 Reactions
83 Replies
7K Views
Kuna radio moja sitaitaja huwa ninafanya kazi ya kuunganisha watu ambao hawajaoa au kuolewa na kupata wenzi wao.Unachofanya ni kutuma wasifu wako,kazi au unajishughulisha na nin! Unaemtaka aweje...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
It's that season of LOVE again and many men are running around emptying their bank accounts, pockets and piggy banks. Well, as for me, I am not going into bankruptcy so as to satisfy a girl that...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana. Wakati namtongoza alikuwa mbishi sana kuhusu suala la kufanya mapenzi,. Sasa katika kuendelea na ubishi wake mi nikaona si vibaya niende nae taaratibu...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wana jamvi! Katika pita pita humu ndani nimekutana na team mbili #teammabazazi na #teamwekapicha , kama zipo nyingine nifahamishwe plz!! nataka nishabikie/nijiunge na moja wapo kati ya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
HI
Mungu anatuwazia yaliyo mema,ametuleta duniani kwa makusudi na si kwa hasara (( jitambue sasa ndugu yangu isikilize sauti ya Mungu )) acha kuhangaiishwa na wanadamu wasio jua nini kitatokea...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika maisha yangu ya chuo huu sasa ni mwaka wa tatu,nimeshuhudia vitu vingi sana katika maisha ya chuoni. kitu ambacho kimenifanya niandike uzi huu ni hii tabia ya akina dada zetu kujirahisisha...
0 Reactions
103 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…