Iweje kila anayeniposa ni mume wa mtu na ana udhati wa kuleta posa nyumbani, ni kwamba wanaume wa kuoa weshakwisha huku visiwani au ni jinamizi la uke wenza linaniandama mie...!
Hebu miye nihamie...
Naomba msaada wenu wa ushauri kwa wenye uzoefu na haya maana mimi mgeni wa jiji hili na kila uchao naona maajabu tuu. Hapa ofisini kwetu kuna wadada kama watatu hivi ambao ni weupe sana hasa...
Pichani ni gari lillilopatwa na mkasa wa ajali nzito na habari yake inaanza kama ifuatavyo.
Kijana Joseph ambaye sasa ni marehemu enzi za uhai wake alibahatika kuwa na kazi nzuri kabla ya kuoa...
unafanyaje PINDI UNAPOISHI NA MWANAMKE AU MWANAUME AMBAYE UNAONA SI CHAGUO LAKO NA MNA WATOTO NA HAMNA NDOA NA NIMEJARIBU KUMWONYA SIONI MABADILIKO NB SIO MSALITI NI TABIA NYINGINE ZA UKIBURI NK
Wana JF,nimekaa kwa muda mkoani Mtwara na Lindi nimegundua kuwa utakuta wanawake wana watoto zaidi ya 3 au 4 na kila mtoto na baba yake, hii inatokana na nini? Tujadili
Hili tangazo limekuwa maarufu sana hapa hasa jukwaa dogo la MMU la love connect na mrejesho wake umekuwa kizungumkuti.
Jambo linalonitatiza ni kwamba hivi ni kweli watu wanawapata wenzi wao hasa...
1/3 Watalala Usingizi
1/3 Watageukia Upande Mwingine (kinyaa etc)
1/3 Watanyanyuka na kwenda Kuoga/nawa/kuondoka
1/3 Ndio tu wataendelea kukumbatia (hasa kama ni mara ya kwanza)
Kwa kuwa...
Dah wakuu usiambiwe!
Hawa mademu wa kimakonde hawafai kuwa wife material wala girlfriend material ogopa.
Mimi nilipangiwa kazi mtwara as a branch manager wa kampuni flani hivi ya watasha...
wawapo katika mahusiano na wapenzi wao.
Naanza na Tabia za mwanaume mwenye kipato kidogo, kama mjuavyo hii dunia kila kitu pesa. Mwanamke yeyeto matazamio yake ni kuwa na mtu ambaye atamsaidia...
Cup of Coffee:
I sat with my friend in a well-known coffee shop in a neighboring town of Venice (Italy), the city of lights and water.
As we enjoyed our coffee, a man entere d and sat at an...
..................kwanza unapokuwa unarudi kwa mpenzi wako hata akil7inga wewe unamcheka moyoni!
#1 Unakuwa na kumbukumbu ya kufuta massage na dial call na kubakiza za washikaji!!
#2 Kutoandika...
Wakuu hii nimeikuta mzee mmoja anamhadisia kijana mmoja juu ya tabia za wanawake wa siku hizi kupenda anasa sana na vitu kwenye mahusiano kuliko upendo wa moyoni.
Eti anasema siku hizi hata...
Habari dada jirani Mwema,
Nakuita jirani mwema kwa kuwa umekuwa ni mwema kwetu, kila siku kuja kuisalimia familia yangu ni upendo wa hali ya juu. Ila nimeijua tabia yako ya kuja kuisalimia...
Kuna binti niliwahi kuwa naye sasa kumbe aliacha kipichu chake chini ya godoro la kitanda changu,
Leo nilitoka nimerudi mchumba kanuna mpaka basi, nauliza tatizo nini? naonyeshwa pichu ya e-x...
Nina mpenzi wangu nampenda kuliko maelezo..yaani i could say nawish awe wangu wa milele..sasa tatizo linakuja tukiwa kitandani.
Wakati wa romance babu anasimama vizuri tena anakua na joto hatari...