jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,782
JamanI wadada natafuta mtu wa kutoka nae siku ya valentine day
nakereka na hizi topics, ndio maana am not a moderator
Pole Mokoyo..
Usikereke kila mtu ana haki ya kuongea analojisikia.
Wa siku zote ushang'anywa leo utajibeba kila mtu kabanwaa