Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wapendwa mi nko zenj kitaa mpendae sijawahi kuwa na girlfriend so nahitaji mpenzi atokee zenj kama upo me namuhtaji.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni huko Tarime kwa Wakurya. Marehemu alikua ana miaka 13 tu. Amekutwa amebakwa,amevunjwa paja na shingo na amefariki dunia. Jamaa aliyeonekana mala ya mwisho na Marehemu Amekimbia na...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Namaste! Naomba niweke sawa kwanza jambo moja "IM ONLY RESPONSIBLE FOR WHAT I HAVE WRITTEN NOT WHAT YOU UNDERSTAND AFTER READING" Nakubali nazua sanaa CONTROVERSY na mijadala yangu, but i wont...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 27, elimu yangu ni degree ya awali! natafuta rafiki wa kike popote pale, awe na elimu kuanzia kidato cha sita, awe mrefu! mimi ni mrefu 182cm high. mambo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna huyu wa kwanza: Akikutana na binti kwa mara ya kwanza baada ya kufahamiana nae anamuomba binti no ya simu ili ampigie....AU Huyu wa pili: Anayekutana na binti kwa mara ya kwanza na mara...
2 Reactions
66 Replies
10K Views
Habari wanajamvi....kwa marafiki ambao wanapenda kuchange ideas can sms me 0764731318
0 Reactions
4 Replies
983 Views
nimekuwa nikiuliza kitambo bila kupata majibu, ni nini hasa husababisha maziwa ya akina dada kulala na wakati wengine wenye sifa za pamoja hayalali.
0 Reactions
64 Replies
18K Views
Wanajamvi, wanawake kama hamtakubali kubadilika basi mtasubili saaaaana, sisemi ni kosa kunywa pombe ila nashangaa siku ya kwanza tu ya kutoka na mwanaume unajiachia kiasi hiki, unakunywa pombe...
6 Reactions
138 Replies
12K Views
Tulisafiri wote dar-mwanza siku ya tar 27/1/2014 na fastjet. ulikuwa umevaa tshirt ya orange na jeans ya blue(ulipendeza sana). Tafadhar ukiona walaka huu nipm maana siku ile nilishindwa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Matumizi ya vyakula na vinyaji vyenye sukari nyingi za viwandani kama vile soda, chocolate, juice zisizo halisi, nk, ni hatari sana kwa afya yako, hasa afya ya mahusihano,,,sisi tunatoa ushauri na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KWA WANAUME Unapokuwa na mpenzi wako au mkeo, alafu wakati wa maandalizi ya mashambulizi, unaulizwa "unajisikiaje unapokuwa na mimi?" Na hilo swali unaulizwa kila mara mnapokutana kwa mambo yenu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ukijitoa kumpenda mtu na kumpa kila kitu, halafu huyo mtu akashndwa kujua jinsi gani anapendwa na wewe akakuumiza, hupaswi kujilaumu. Anapaswa yye kujilaumu kwa kukosa kusoma alama za nyakati...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutokana na kukosa mambo muhimu yanayoendelea duniani hivyo nimeamua kutafuta king'amuzi ambacho kiasi kitanisaidia kupata habari mbili tatu.....hivyo nilikuwa nawauliza waungwana wa humu ndani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeoa mke miaka SABA lakini hazai ,nifanyeje wakati nimefunga naye ndoa?Mimi nina uhakika mzima.Naombeni msaada umri unanitupa mkono
1 Reactions
88 Replies
15K Views
Kuowa mke mbaya kwa muonekano ni raha sana maana mke hatasumbuliwa sana wala kufutwa fuatwa sana.Mke mzuri ni presha atasumbuliwa sana adabu itapungua atagongwa nje nawe utakuwa huna mamlaka naye...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Asalam alaikum, Najumuika nanyi kuwajulisha kuwa mwanajamiiforum mwenzetu farkhina amejifungua salama mtoto wa kike:A S-rose:! Kwa pamoja tumpe hongera kipenzi huyu cha wengi kwa kuanza ukurasa...
21 Reactions
139 Replies
24K Views
Wana Jamiiforum.. Napenda kuwajulisha kuwa tunapanga kutoa course fupi on body language. Wewe kama ni mwalimu/lecturer, mwana muziki, mfanyabiashara, mwanasiasa, au mtu awae yote ni muhimu kujua...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kabla ya ndoa jiulize kwa nini umempenda? kwa nini anakupenda? Ukitaka kucheka muulize mwenzako hivi kwa nini unanipenda? utacheka sana, utasikia nakupenda ulivyo, mwingine ukimuuliza ivi yule...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Je ni sahihi shemeji au wifi kuingia chumbani kwako na kufanya usafi wakati upo safarini. Kwa kigezo kwamba ni chumbani kwa kaka yetu? naombeni tusaidiane katika hili
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…