julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Kabla ya ndoa jiulize kwa nini umempenda? kwa nini anakupenda?
Ukitaka kucheka muulize mwenzako hivi kwa nini unanipenda? utacheka sana, utasikia nakupenda ulivyo, mwingine ukimuuliza ivi yule ulimpendea nini utasikia hela, mapenzi (je kwani mlifanya ndio ukamkubali= huu ni uongo ukijibiwa hivi jiangalie sana siyo bichwa hilo).
Mimi nadhani jamani jitahidi uwe na sababu za msingi za kuingia kwenye ndoa na mtu! ukiulizwa kwa nini si fulani, kwa nini awe huyu uwe na majibu sahihi na yanayo kubalika nje na hapo ndoa zitasalitiwa sana, tutaachana sana na tutadondoshana sana!
watu wengi walioachana, wanaojutia ndoa,......... hawakuwa na majibu sahihi ya hili swali! Akikufuata mtu muulize kwa nini unakupenda sababu atakazotoa zipime na wewe mwenyewe sio unaambiwa sura yako tu mtu sura mbovu unabaki una-simile, be smart na majibu ya mtu wa aina hii!!!! kwani hujioni kwenye kioo na picha huna yaani mtu anakudanganya unacheka? akupe sababu za msingi sikatai wapo watu hiyo ni sababu but iwe kweli!