Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
Kuna huyu wa kwanza:
Akikutana na binti kwa mara ya kwanza baada ya kufahamiana nae anamuomba binti no ya simu ili ampigie....AU
Huyu wa pili:
Anayekutana na binti kwa mara ya kwanza na mara baada ya kufahamiana nae anampa binti no yake ya simu ili binti ampigie? AU
Huyu wa tatu:
Anayekutana na binti kwa mara ya kwanza na mara baada ya kufahamiana nae anasubiri binti ndio amuombe no yake ya simu na ikitokea hajamuomba anajikataa?
KARIBUNI.......