Unapokuwa na mimi unajisikiaje?

Unapokuwa na mimi unajisikiaje?

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
776
KWA WANAUME
Unapokuwa na mpenzi wako au mkeo, alafu wakati wa maandalizi ya mashambulizi, unaulizwa "unajisikiaje unapokuwa na mimi?" Na hilo swali unaulizwa kila mara mnapokutana kwa mambo yenu.

KWA WANAWAKE
Unamaanisha nini unapouliza swali hili?

Mimi kama mwanaume huwa linanikera sana. Ukizingatia huyu mtu hakuna siku sijamfikisha kileleni, na kwa round atakazotaka yeye. Namshukuru Mungu sijawahi kulalamikiwa uzembe niwapo kazini. Huwa naheshimu sana maamuzi yake, akisema amechoka hajisikii, basi huwa simsumbui. Tukifanya nikimpeleka kibo round ya kwanza, na ya pili, akisema amechoka inatosha basi huwa sipendi kuendelea, akisema tuendelee basi tunaendelea. Sipapariki kwani kuku wa kwangu manati ya nini? Sasa nimejiuliza mambo mengi, anapungukiwa na nini? mbona kila siku niko naye na akitaka hata kwa siku mbili mfululizo nampa? namchezea kila aina ya mchezo, kwa nini aniulize hilo swali?

Kama ni mahitaji mengi namfanyia surprize kila mara na hajawahi kupungukiwa kitu chochote. Why ask me such a question?

Karibuni
 
Asante! Niko KWAREMA kidogo, nitapita kimya.
 
anatakakusikia ukitamka kwa maneno yale anayopata kwa vitendo,wanawake wanapendakusikiamaneno mtamu pia...
 
Yupo sahihi kabisa kukuuliza,anataka kujua zaidi kwamba ni kwajinsi gani uwepo wake kwako unauchukuliaje,je unatimiza tu sheria?bora liende tu,katika yote unayomtendea anapenda pia kusikia midomon mwako ukiyakiri hayo.
Unajua kuna watu wameshakaa miaka hata kumi na wake zao lakini hata siku moja hajawah kumwambia mkewe nakupenda mke wangu toka alvyoisema wakat anamtongoza hajawah rudia tena.
Hivyo usikasirike furahia kila wakati anavyokuuliza na toa majibu sahihi hiyo inakupandishia maksi kwake,kama alikupa C inapanda na kuwa A.
 
Wanawake tunapenda maneno matamu ,kusifiwaa kuchombezwaa we waona tabu gani kumjibu kama wampenda mbona kitu kidogo mno hicho
 
Its not physical, its the emotional part that makes us women feel whole.

Ndo maana hatuchokagi kuambiwa maneno matamu ya kusifiwa, kuambiwa tunapendwa...

Its not a big deal O.C and she's not complaining.

It will just make her so so happy and reassured in your loved for her.
 
me nilikuwa napenda kumuuliza mme wangu kwanini ulinichangua mimi, naona na yeye alichoka hilo swali akaanza kunijibu si nilishakujibu eeh nikaacha kuuliza, huwa hatuna sababu basi tu tunapenda kusikia mkikiri upendo wenu kwetu
 
lara 1, please bana weka hata neno moja, nimekumisi wewe
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hawa wenzetu, huwa wanapenda sana anapokuwa na mpenzi wake, ahakikishiwe 'usalama' wake. Hilo neno usalama lina maana pana kidogo. Wala usichoke kumjibu maneno matamu, kabisa jinsi anavyokidhi haja zako, unampenda, unajisikia furaha kuwa na yeye, na kuridhika na uwepo wake, kubadili utamu wa maneno kila siku ili kukoleza penzi lenu.
 
wanawake tunapenda maneno matamu ,kusifiwaa kuchombezwaa we waona tabu gani kumjibu kama wampenda mbona kitu kidogo mno hicho

na akikujibu kinyume chake weeeee inaumaje.........

Wanawake we want that kind of assuarance hilo swali anaweza kuuliza hata mara mia
 
Asante! Niko KWAREMA kidogo, nitapita kimya.

Jesus Christ!! Kumbe kuna nyakati unakataa ku-comment kisiasa hivi? Ama kweli thread hii ni ngumu kumeza kwako. I hope uko pouwer though.
 
Ina raha sana kusifiwa na kuambiwa maneno matamu na umpendae

Kwanza inaongeza assurance na confidence say it even100 times ndo tunavyopenda.
 
Wee lalamika tu, wenzio watamsifia afu achoropoke.
Kudekezwa raha mno, hata uwe na miaka 50.
 
anatakakusikia ukitamka kwa maneno yale anayopata kwa vitendo,wanawake wanapendakusikiamaneno mtamu pia...

There you are. Its true tunapenda kusikia maneno matamu yanayoleta raha ktk mapz nakuhita kuyasikia tena na tena na tena!
 
Wanawake tunapenda maneno matamu ,kusifiwaa kuchombezwaa we waona tabu gani kumjibu kama wampenda mbona kitu kidogo mno hicho
Aaaagh...Tunaulizana swali moja kila mara kama watoto!!. Huwa inaboa sana, Huwa sijibu kitu wakati mwingine. Kuweni wabunifu hayo maswali tushaulizwa na X-gf wa kwanza. OTHERWISE ITASABABISHA FATIGUE FAILURE
 
na akikujibu kinyume chake weeeee inaumaje.........

Wanawake we want that kind of assuarance hilo swali anaweza kuuliza hata mara mia

Mimi mwenyewee hua mrudia kuulizaa maswali natolewaje baru
Yakiwa kinyume na hapo weeee patachimbikaaaa
 
Msifie bana,,mfanye a-feel yupo peponi!maneno matamu yana ashk zake...tunapenda kuchombezwa hata kama kimauongo uongo tu!
 
Back
Top Bottom