Heri ya Pasaka wana-MMU!
Nataka kufahamu ni kitu gani ambacho mwanamke anakihitaji kwa mwanaume na mwanaume lazima amtimizie mwanamke kama sehemu ya majukumu yake!
Nimetafakari na kugundua...
Nimekaa tangu ijumaa labda nitapokea kizinga cha siku kuu kutoka kwa waubani but naona kimya mpaka leo,najikaza kiume lakini roho inaniuma kwa nini asiniombe hela ya siku kuu? kuna namna hapa sio...
Waslaaam wana jamvi wenzangu....
Nimejaribu kukaa na il jambo ila naona bado nadaiwa humu...
Kwa wale ambao wamekua wakifatilia thread zangu za nyuma kuanzia nahisi naibiwa na ile nyingine ya...
Mie ni kijana wa miaka 24, ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 3 ktk chuo kikuu cha kcmc, nina mpenzi wangu ambae tumekua kwe love toka form 5, lakin nmetokea kumpenda housegirl wetu. nahisi...
wajameni hivi ili neno MMU linamaanisha nn. mi nalionaga tu humu ndani...na marafiki zangu wengi wa humu ndani kama JAWILAT, excel etc huwa wanani PM niwape maana lkn cjui...sasa naombeni jibu...
Maelezo yako nimeyapata vizuri na kama mchungaji wako nimegundua kuwa una hoja zifuatazo lakini hazina mashiko:
1. Maziwa yake yamelala halafu makubwa- Kimsingi, kila mwanamke kadri unavyomtumia...
Wana MMU nakuja jukwaani kueleza tatiyo langu katika mapenzi ni kwamba kila nikipata msichana huwa ananitenda tu kwa kutokuwa muaminifu kwenye uhusiano swali nifanyeje niepukane na kutendwa na...
Habarini za usiku wanaJF,kwa kweli nimefika hapa kuwahabarisha wanaume wenzangu,katika maisha yetu tusifikirie kuoa msichana wa kirangi maana hata umpe kila kitu na umgegede vipi mwisho wa siku...
STORY FUPI YENYE MAFUNZO....
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI
Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu".
Wote wakalala chini.
HII INAITWA DHANA YA...
Nina demu mmoja wa Kichaga huwa tunaburudishana kwa kupeana vyetu,ni mzuri kwelikweli kiasi hata cha kunifanya kwa nini amekuwa Mchaga kwa kuwa ana shepu balaa...
Sasa juzi kati akanipigia simu...
Hbr ya Asubuhi wana jf ktk jamvi hili la MMU...
Leo ni jumapili tulivu sana ikiwa na shamrashamra za kumbukizi za Yesu kristu kukishinda kifo takribani miaka 2000 iliyopita.
Shamrashamra za siku...
Kupenda ni kutenda nini au kusema nini hasa kwa mwenza wako? Tangu nikiwa chuo mpaka sasa huwa naambiwa sijui kupenda, though nipo real and true. Maigizo tuu ndio sijui..
Wanaoitwa wanajua...
BANIANI MBAYA
NI asubuhi bado sijaamka kutokana na uchovu kwa sababu nilikuwa nimetawaliwa na hang- over ya pombe nilizokunywa usikuwa jana.
Nilikuwa bado nagalagala kwenye kitanda...
Baada ya kusikia kauli ile kutoka kwa mwalimu R.......... roho ilipasuka 'paaaa' na kwa muda mfupi tu niliingiwa na wimbi zito la mawazo.Huku nikihema juu juu mwalimu R..... aliniambia "G...
Jamani mimi nipo serious na hili lakini watu si wastaarabu,wewe unajua umeoa then unanitafuta na kutaka mahusiano na unanidanganya upo single,hatimaye ninasumbuliwa na wake zao tukianza tu kuchat...