juzijuzi tukiwa tumefuatana tukitokea home kwangu baada ya kupeana raha karibu masaa 3 njiani ndipo mkasa huu ulinikumba.
tulifka eneo moja tukakutana na wanaume wawili walipotouna wakaanza...
Jana tulikua ktk kikao kisicho rasmi pale Landmark. Jamaa yetu mmoja kapata safari itakayomtenganisha na GF kwa muda wa miaka 3. Tukawa tunamtania kwamba ndani ya hiyo miaka mitatu kwa jinsi...
Wanajf habari zenu,
Leo ningependa kupata kujua kutoka kwa wenzetu kwamba kuwa na mwanaume anaeweza shughuli lakini financing yake ina mdororo wa kichumi au kuwa na anayejua kutake care ila...
Nimeishi naye kwa miaka 8 ndoa ikiwa na furaha kama ni makosa bac ni madogo mdg tuliombana msamaha yakaisha ila tuliishi mbali mbali sababu ya kazi ya mume nami nikiwa na kazi Mwenyezi alitujalia...
Habari z jumapili wakuu
Sasa ni hivi,baada ya kutoka club jana usiku na mpenz wangu leo nimeamua niachane nae rasmi!moyo wangu ndiyo umeamua hivyo sijashawishiwa na mtu yyte!
Tatizo linakuja...
Nilishawahi kusoma mara kadhaa madai ya watu humu kwamba makabila fulani ni malaya zaidi kuliko mengine, lakini kwa kutambua kwamba njia kubwa namba 1 ambayo inaongoza kusababisha ukimwi ni...
Asalam aleykum wana JF.
Mimi nilikua naomba ushauri wenu katika tatizo langu.
Nina msichana ambaye naishi naye kwa muda sasa karibia miaka miwili na ninampenda sana kuliko ht inavyoweza...
Wakuu hii ni mara ya mwisho kutangaza.Natafuta mchumba au girlfriend.SIFA ZANGU MIMI SAYANSIKIMU ni kama zifuatazo .KABILA mgogo DINI mkristo NYUMBANI dodoma UMRI miaka 23 .RANGI YA NGOZI mweusi...
Nafuatilia kipindi Star TV - mwanasheria anahojiana na mtangazaji kuhush madhara ya ukeketaji, nashangaa kusikia kumbe sheria haikatazi mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea...
Together 4 Ever
Wives: Your husbands greatest
need is to be respected. If asked to
choose between being loved and
being respected, your husband
would rather be respected than be
loved. In fact...
Ikiwa umeoa miaka kadhaa iliyopita na mkeo akazaa watoto kadhaa nawe kama baba ukawapatia mahitaji ya elimu, chakula, afya na malazi kama kawaida. Baadae kupitia DNA ukagundua sio watoto wako. Je...
Confirmed: kuna aina 2 za michepuko.
1-mchepuko wa lami: ni ule hauombi hela. Upo njema, unajua designers wote. Uwe nae usiwe nae maisha yake yanaendelea.
2- mchepuko wa vumbi: ni ule "ooh sina...
Habari zenu.humu ndani.naombeni.ushauli.kunademu mmja nimetokea kumpenda sana.nipo nae karibu huu mwezi wa sita sasa.unaisha.tatizo hataki.kutoa mzigo.anadai tufunge ndoa ndio anirusu.kula...
Nina miaka 38 ni mfanyabiashara...natafuta mke awe umri usizidi miaka 38...mcheshi.
anayeweza kusimamia miradi au watu...awe anajuakujituma mbunifu
PM namba za simu zinaruhusiwa..
Niambie kama huu sio uzembe uliokithiri ni nini! Mwanamme gani anayeweza kumruhusu (leave alone kusindikiza) mkewe kwenda massage parlor ambapo masseur ni mwanamme. Hata kama ni professional...
Habari wana MMU
Inawezekana hili lisiwe geni, lakini si vibaya kukumbushana.Fanya yafuatayo kurudisha upendo uliopotea kwa mkeo:
1.Jaribu kuwahi kurudi nyumbani kama ulikuwa una kawaida ya...