Mwanamke unamsindikiza mumeo massage parlor

Mwanamke unamsindikiza mumeo massage parlor

Birdman

Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
79
Reaction score
24
Niambie kama huu sio uzembe uliokithiri ni nini! Mwanamme gani anayeweza kumruhusu (leave alone kusindikiza) mkewe kwenda massage parlor ambapo masseur ni mwanamme. Hata kama ni professional, what follows next? Massage your own husband, ukimwacha na uchovu - woman, utawahiwa!! Women acheni ujinga, amkeni!! Bedroom services ni wajibu, wala sio favour. Vichombezo kwa mumeo (mahaba) ni pamoja na massages, mapishi spesheli, faraja baada ya kazi ngumu/majukumu, uwajibikaji, uaminifu, kukubali man is the king of the house hold wakati wote na heshima, amongst others. Ama sio waungwana!!!!
 
wherever u are, wherever u do, I'll be right here waiting for u......
Ukiwa kama hayo maneno yanavyosema hutakaa kwa wasi wasi hata kidogo, na ukumbuke mtu mzima hachungwi...
 
Back
Top Bottom