ABDUL.M.KASSEBEA
Member
- Apr 25, 2014
- 36
- 3
Habari zenu.humu ndani.naombeni.ushauli.kunademu mmja nimetokea kumpenda sana.nipo nae karibu huu mwezi wa sita sasa.unaisha.tatizo hataki.kutoa mzigo.anadai tufunge ndoa ndio anirusu.kula tunda.lake.kwani anadai.kuwayeye.bado.ajaguswa maisha yake yote.namimi nipo tayari.kufunga nae.ndoa ilanaogopa kuuziwa mbuzi.kwenye.gunia...by.mtoto wa kiruguru