Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

When you picture having a long and happy marriage, vacuuming may not come to mind, but it should. A new study of 220 couples published by the University of Illinois found that wives who want to...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
HABARINI ILIKUWA ASUBUHI MCHANA NA NDIPO KIZA KIKAINGIA JIONI NDIPO NIKAGUTUKA TOKA USINGIZINI. SIKUELEWA KWANINI NILIKAMATWA NA USINGIZI MZITO KIASI KILE NISIJUE LEO NI SIKU SPECIAL KWA KITOTO...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Naumia sana nikimwangalia. Kinacho nifanya niumie, wakati namtongoza alikuwa hataki kabisa, lkn nikamlazimisha mpaka akakubali. Tangu hapo amekuwa ni msumbufu sana, yani kwa siku anaweza kufika...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndugu zangu wapendwa, Bado siku saba kamili kufikia kilele cha siku ya wamama wote duniani. Ingawa hapa Bongo ni jambo geni, siyo vibaya kukamatana nalo kwa vile ni jema, tena jema sana! Kwa...
14 Reactions
75 Replies
5K Views
Jamani ushauri wenu unahitajika hapa plse, nina marafiki zangu wa kichaga, mmoja mchaga wa kibosho, mmoja wa marangu, wote ni warembo na nimekuwa nao bila wao kujijua, sasa very soon nataka...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Yawezekana ukaokota embe dodo chini ya muarubaini. Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo Mwenye heshima: Sikuambii uwe kama Mama Theresa, lakini unatakiwa uwe na heshima kwa watu katika namna ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu..... na baada ya salam leo nataka tujadiliane mbinu sahii za kukabiliana na vikwazo vya kinadada kama vifuatavyo 1.Niko kwenye period 2.ninaboy friend/mume/mchumba...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Happy mothers day cc Wamama wote
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanaume wasio na ajira wako katika hatrari ya kuathirika zaidi kutokana na ugomvi Ugomvi wa mara kwa mara baina ya wapenzi, marafiki ama hata jamii unaongeza hatari ya kufa kwa watu wenye umri wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Bila shaka weekend inaenda murua ndugu zangu. Nimekuwa na demu wangu nimpendae kwa mwaka mmoja sasa. Tatizo linalonikumba ni kuwa sikuwahi kumpa dozi hadi akafika kunakostahili (kukojoa), licha...
0 Reactions
132 Replies
15K Views
1. Mwanamke ambaye anajua kuzungusha mascara kwa uso akiweka urembo lakini hajui kuzungusha mwiko kwa sufuria akitengeneza ugali ni schupit. 2. Mwanamke ambaye anajua kupaka eyeshadow kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Shikamooni wakuu, Kuna kitu najiuliza labda kuna watu wana uzoefu humu, Mie nlishawahi kujaribu kuwaza jinsi ya kumvulia pichu mwanaume ambaye hayupo moyoni mwangu Hii siyo mara moja kiukweli ni...
1 Reactions
203 Replies
20K Views
Wanawake ni kama ndege wakiwa juu ya tawi huimba vizuri sana, lakini ni hatari sana kuwa na urafiki nao!. Sababu ni kuwa wakiona tawi lingine jipya na zuri machoni mwao, huruka na kukuacha mpweke...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Wanaume shombe shombe ni wanaume mchanganyiko wa kiafrika na rangi nyingine inaweza kuwa ya kizungu, kiarabu au kichina n.k Nisiwachoshe hizi ndio sifa za wanaume shombe shombe. Wanajua kujali...
1 Reactions
131 Replies
22K Views
Mimi ninashindwa kumtongoza msichana watu wengi wananisifia nina sura nzuri na ni mtanashati; naombeni ushauri.
1 Reactions
150 Replies
13K Views
Sir Alexander Fleming akiwa katika tafiti zake Mimi ni muumini wa nguvu za kimaumbile. Naamini kwamba kila kinachopandwa, hatimaye huvunwa kwa njia ile ile, kama leo hii mtu akitenda wema, ni...
17 Reactions
28 Replies
3K Views
:closed_2:
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Naitwa muddy,mjasiriamali,umri wangu 29,natafuta girl w kuoa n awe n sifa zifuatazo,upendo,mwaminifu,mtafutaji etc...pm me
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Yaliyoandikwa humo ni kweli tupo...tusilazimishe jamani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumkubali mtu, inaweza kuelezwa ni kumpokea, kumheshimu, Kumkaribisha, Kumpa nafasi pengine sawa sawa na yako. Kumkubali rafiki au mwenza ni tendo linalotegemewa kuwa la hiari, sio la lazima...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…