"ni miaka kadhaa imepita tangu mama
na baba yako wakulete juu ya uso huu
wa dunia, Shukran za pekee ni kwa
Mwenyezi Mungu kwa uwezo wake
umezaliwa, umekua na leo
tunasherekea siku ya kuzaliwa...
Wadau mpo poa?nisiwachoshe ipo hivi,nimeishi mbali na demu kwa muda mrefu sn,nimemtoa mbali kimaisha hadi kufanikiwa kwake.
Leo ss nimefika anapoishi hakika nimegundua kitu.Ana mtu tena si...
Habari ya saa hii wana JF
Ni kuhusu penzi langu na huyu star wa bongo movie (jina kapuni) alofanikiwa kuniteka roho mpaka mwili kiukweli mapenzi ni matamu tena sana tu,japo naamini sisi wote ni...
Naitwa tinoh, age 28 natafuta mwanamke ambaye atakae kuwa mke wangu, nina degree ila mwanamke ninaitaji ni mwenye elimu yoyote ile ilimradi awe na mapenzi ya kweli, just call or text me direct my...
Habari zenu wakuu, msaada wenu wa mawazoo nauhitaji sana. Mimi nina mpenzi wangu, sasa kila ikitokea tofauti anataka nilie ndo ajue nampenda. Sasa nashindwa kuelewa ni kwangu tu au ndio kawaida...
Shikamooni wakuu wangu,
Mie bana nina katatizo
Baada ya kuachana na mpenzi wangu nahisi nina kitu kinanpa hard time,mkurya wangu nampenda sana hata akisoma hapa ajue nampenda katika moyoni
Ila...
:nod::nod:
Oh yes.
At one time you might be the hottest couple in town, soul mates...the next you are sworn enemies at each others throats. Makes me wanna laugh.
Imeshawahi kukukuta hii?
The...
mmeshindaje wana JF.
kwani kwenye mahusiano ya kimapenzi unatakiwa uvumilie mangapi jaman na kama hakuna kipimo kipi ukifanye tofauti kukabiliana na hali zenye utata?
nina rafiki yangu nilisoma...
Habar zenu wana forum, sina elimu ya kutosha kuhusu hili, naomba msaada wenu. Eti hivi kutokana na ugumu wa usafiri, kupanda daladala na kubanana sana, je kama situmii pafyum inawezekana nikarudi...
Hivi wapendwa utafanya maamuzi gani kila utapoingia kwenye mitandao ya kijamii unakuta mtalaka wako anakupiga mafumbo na kila anapokufata ili mrudiane humjibu chochote na anaanzisha marumbano ya...
Mimi Chachu Ombara pamoja na familia yangu, mke mkubwa Evelyn Salt na mke mdogo miss chagga tunapenda kuwashukuru sana kwa wale wote walionitakia heri ya kuzaliwa pamoja na wote ambao hawakuweza...
Hod wakuui! Jamani naangalia kili music awards 2014 recorded hapa maana sikuiona before. Sasa kuna wasichana wanaperform wako watano namjua Vannesa mdee tu wengine siwajui. kuna msichana mmoja...
kuna jamaa yangu alinielezea kwamba, %99 ya wanawake wanajiuza, Wengine Directly others Indirecty aliendelea kueleza kwamba, Directly ni wale ambao wanajiuza barabarani wakisubili wateja...
Mi ni kijana wa miaka 27 mrefu smart mwili wastan naish dar nahitaji mwanamke mtu mzima mwenye umri ucopungua miaka 55 nimechoshwa na vijana wenzangu nitafurahi zaid nikipata wa maisha ya hali ya...