Mafweza ze don
Senior Member
- Feb 9, 2013
- 148
- 182
Habari zenu wakuu, msaada wenu wa mawazoo nauhitaji sana. Mimi nina mpenzi wangu, sasa kila ikitokea tofauti anataka nilie ndo ajue nampenda. Sasa nashindwa kuelewa ni kwangu tu au ndio kawaida kwa mtu mwenye malengo nae?
Nahitaji msaada wenu.
Nahitaji msaada wenu.