Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,723
Mimi Chachu Ombara pamoja na familia yangu, mke mkubwa Evelyn Salt na mke mdogo miss chagga tunapenda kuwashukuru sana kwa wale wote walionitakia heri ya kuzaliwa pamoja na wote ambao hawakuweza.
Toka nimejiunga JF nimepata marafiki wengi sana na nimejuana na watu wengi sana.JF imekuwa familia yangu na member wote wa jf ni ndugu zangu.
Nawashukuru sana member wa JF walionifanyia surprise kwa kuniletea keki,sitowataja kwa majina ila nawashukuru sana na nawapenda sana.

Attachments
Last edited by a moderator: