icoderz
Senior Member
- Mar 9, 2014
- 135
- 83
Hod wakuui! Jamani naangalia kili music awards 2014 recorded hapa maana sikuiona before. Sasa kuna wasichana wanaperform wako watano namjua Vannesa mdee tu wengine siwajui. kuna msichana mmoja nimempenda sauti yake ana nywele futi(amekata/naturalista), maji ya kunde, ana shape ya ukweli. hivi anaitwa nani? ameimba nyimbo gani? Najua atakua celebrity kwa hiyo atakua anajulikana.