Moja wapo ni hili,
Mimi nilifikiri kwamba wanawake wakimya, watulivu ndio waaminifu kuliko wanawake waongeaji, wacheshi na crazy lady kumbe siyo kabisa. Kweli usihukumu kitabu kwa cover lake...
Habari wanajamvi?
Nimekuwa nikisikia/kuona baadhi ya wanandoa ndani ya ndoa kuchepuka kwa ajiri ya kutafuta mtoto wamtakae baada ya kuzaa watoto wa aina ya jinsia moja (wakiume tu/wakike tu)...
Nchini Uingereza watafiti wa kusaidia kuinua maziwa ya akina mama yaliyolala wamefanikiwa kufanya plastic surgery na kuyafanya maziwa hata ya mzee wa miaka zaidi ya hamsini yasimame wima bila...
Nina kaka wa damu ughaibuni ila amenitenga na hivyo hatuna mawasiliano mazuri kwa mda sasa.Huyu Jamaa wakati Maza alifariki tulijadiliana aende ughaibuni kwa kuchukua fedha alizoacha marehemu mama...
Hi?
Naitwa Gabu (25). natafuta mchumba kutoka popote Tanzania, awe na umri katiya 18-22. dini rangi/kabila cyo hoja
+2557652388779
NB; USI BEEP AU KUTANIA!!
Niko mda sasa kwenye ndoa iliyobarikiwa kwa neema zote kikubwa watoto. Ingawa kuna wakati mwingine napotoka kidogo ila upendo na heshima kwa mke wangu haujawai kupungua.
Mambo yalianza...
Me ni kijana mwenye miaka 26 nipo Dar es Salaam, naomba kuuliza pia mtu mwenye upeo mkubwa anisaidie kunishauri. Nina msichana nimeishi naye mda wa mwaka 1, mimi nafanya kazi naondoka asubuhi...
Habari wana JF! Jamani tuweni makini UKIMWI upo na hauchagui mtu,hivyo tunapaswa kuchukua tahadhari kubwa. Najua kuna watu wanachukulia UKIMWI kama ugonjwa wa kawaida ila kiukweli sio wa kawaida...
Hii naona inatokea sana kwa wanaume unamtogoza mwanamke akikubali fasta unaanza kuwa na wasiwasi na fikra potofu hooh huyu kicheche.hooh ntapigwa mizinga.
Ukitongoza ukizungushwa napo lawama...
Hiki kitu knasumbua xana akili yangu wakubwa naomba munipe ushauri nn nifanye. Siku moja alikuja rafiki angu na mwanamke akanitambulsha kuwa huyu ni mpnz wangu pasipo kujua yule mwanamke...
Mvuto huna
Pesa huna
Kuvaa hujui
Sura mbaya kama
unachungulia choo
Afu unalalia kupendwa wakati wewe mwenyewe hujipendi
Angalia mapungufu yako
Wapi umekosea then uanze
kulalamika
Heshima mbele wakuu,
Katika pita pita zangu nimegundua kuwa wanawake wenye elimu angalau kuanzia certificate,diploma,first degree na kuendelea ni rahisi sana kuwatongoza ukilinganisha na...
Nilimpenda sana kiukweli, na bado huwa siamini kama its over!
Lakini kitendo cha kunipa kadi tena ya muwaliko...kimeniumiza sana, istoshe tulitofautiana tu mambo madogo ingawa mimi ndo chanzo...
Habari ya mchana wana MMU na JF kwa ujumla, mimi sijambo kabisa na imani yangu kwenu ni kuwa hamjambo na kama kuna mgonjwa basi namuombea heri.
Juzi nimekutana na kisa kimoja, mkwe wa mke ni...
Wana jamvi leo niko pande za wanaume jamani nasema jamani.
Kama hatutofanya mazoezi na kupunguza vitambi ili kuondoa mafuta mengi ktk miili yetu heshima ndani ya ndoa zetu zitaisha kabisa na...