Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni Polisi: "Muiseke wangu Nyamughe Uliishawahi kukutana na mtu ambaye kuanzia dakika ya kwanza kuongea (hapana, kuonana) ulijiona umeshaoa, umezaa naye watoto na kwa mbali mpo na wajukuu...
8 Reactions
73 Replies
8K Views
At first time ilikuwa crush kwenye wedding ya friend. Ndio mara ya kwanza tunaonana that night urafiki social hall 2 years ago tukacheza music pamoja. then tukaexchange namba na ikaishia hapo...
9 Reactions
127 Replies
10K Views
Kwa wanaume, Kuoa mwanamke bikra yaweza kua ni hoja ya msingi katika uimara na ustawi wa ndoa husika? Maoni nakaribisha hata ya wanawake.
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Waungwana ndani ya JF.. Umri unaenda nahitaji sasa kuoa cz ninakaribia maiaka 30.... Natafuta mke wa kuoa ila awe anafanya kazi "Access Bank" customer care service department!!!!! Kwa wale...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HABARI ZENU WANA JAMVI, Pia nimpe pole au hongera masai dada kwa shuguli yake pevu ya kuhakikisha mume wake anafanyiwa Kate.re.ro. Nirudi kwenye mada ni kwamba ukipita maduka mengi ya kariakoo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Poleni kwa majukumu wana JF Kwa muda mrefu nimekuwa nikimtafuta dada yangu katika ukoo bila mafanikio, anaitwa Stella Bosco alimaliza kidato cha nne mwaka 2002, JWTZ 411 kj ruhuwiko secondary...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, kwa mara ya kwanza napost ndani ya JF Kuna issue nimekutana nayo and I was shocked to death lol! Wanawake kadhaa walikuwa wakijadiliana jinsi wanaume walivyo pasua kichwa so...
2 Reactions
197 Replies
14K Views
The ladies of the World they look like, But differ in structure. And why she? All have got beauty faces, Decorated with pink and whitish powder; As beautiful rose flowers...
0 Reactions
6 Replies
995 Views
Ninahitaji mwenza wa maisha wa muda mwanamke kuanzia July 1st, 2014 hadi june 30th, 2015 Jukumu: Kuniliwaza Sifa: 1. Awe na afya njema umri kuanzia miaka 18 to 35. 2. Awe na elimu inayomsaidia...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Udhaifu wangu ndio huo ndio maana naishia kulia, sasa cjui nisipende
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Huyu dada ni rafiki yangu sana, nilikuwa nafanya nae kazi ofisi moja kabla sijafukuzwa kazi, alikuwa rafiki yangu sanaa kiasi cha yeye kunipa siri zake za ndani sana. Tatizo ni kwamba bwana...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Habari zenu.... Mimi sina mengi ila soma hapa. Hofu yangu ni kuwa yatakuja makubwa zaidi ya hili. Wewe unasemaje?
9 Reactions
433 Replies
136K Views
siku chache zilizopita niliona post ya mdada mmoja hivi anatafuta mchumba na kwakuwa na mie nipo single na ninatafuta mtu wa kuishi nae niliamua kuanza kumfuatilka kwa ku mp na kupeana no za...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Nina rafiki yangu wa kike tunapendana! Alikuja kwangu, tukaongea mambo mengi na tukafanya ya faragha pia. Baada ya hapo mdada analazimisha nipumzike yaani nilale usingizi.. Nikamwambia mwenzio...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari zenu ........ Habari za w/end? Natumai nyote mu wazima kama kuna ambae hayupo sawa Mungu ampe afya Kuna jambo nimekuwa najiuliza sana na una sababu iliyonifanya nijiulize sana Kuna...
5 Reactions
333 Replies
27K Views
Mimi sijui nina nini tu na kwapa la mwanamke. Huwaga nikiona mwanamke kavaa nguo (gauni, blauzi, n.k.) ambayo haina mikono (sleeveless) lazima nitajitahidi kumwangalia kwenye kwapa lake. Yaani...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Wakuu heshima Kwenu wote. wakuu nimeleta maada hii kutokana na yaliyomkuta rafiki yangu wa karibu aliyefunga ndoa mwaka 2008 na sasa anateseka nayo baada ya mke kuondoka na kurudi kwao na...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Leo nimekutana na kina dada watatu maeneo ya mwenge, wanasema kenya wamepitisha sheria ya wanaume kuoa wanawake wengi mbona hapa kwetu hawapitishi? nikawauliza kwani tatizo lenu nini? wakasema...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake...
1 Reactions
131 Replies
14K Views
Natumaini hii nyimbo nitaiperform Live na Ma wife(expected) siku ya wedding yetu. Kwani ni nyimbo ambayo inaweza kuwa ni memorable katika familia yetu na katika maisha yetu. Najua tukiimba hii...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…