MMU nimerudi tena meza kuu,! Kitendo cha kumwambia mambo dada, unakujibu nitumie hata vocha, mwanaume unatuma ya buku, kesho tena unaendeleaje huko? Nipo poa nitumie hata ela kdogo kwa M pesa...
The wedding picture that signed a pregnant woman's death warrant, Sudanese Muslim doctor to be flogged and hanged for marrying a Christian. Mariam Yahya Ibrahim pregnant, with her second child has...
Habari zenu ndugu wa mmu,
Ni hivi nmebahatika kuoa na kupata babyboy moja.Nmedumu kwenye ndoa miaka 3 na mke wangu.
Nmeishi na mke wangu kwa upendo na furaha.Miezi mitatu iliyopita mke wangu...
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao...
Hamjambo wana MMU wote?
Mtakubaliana nami kwamba wanaMMU tuliowazoea hapa
jukwaani hawaonekani. Ni hawa wafuatao:
1 Preta
2 gfsonwin
3 Ousofia
4 shansarie
5@kiwatengu
Na babalao The Boss.
Mwenye...
nikiamini jf ni shule kwani imejaa watu wa aina mbali mbali na wenye utaalam tofauti,naomba kwa wanaofahamu wanielemishe yafuatayo;
Ni kweli kwamba kuna magegedeo ya bandia ya kiume na kike...
naombeni mnijuze wadau!
Mara nyingi wanaume ndo wanakuwa frontline katika kuwatongoza akina dada na kuanzisha mahusiano ya kimapenzi.Isitoshe , mara nyingi utawakuta wakisema oooh huyu dada...
Jamani nisaidieni nifanyaje maana kila siku nakuta sms za mapenzi kwny simu ya mume wngu. Amemsevu rafiki yangu jina lingine baada kupiga simu nikagundua ni namba ya rafiki yangu kpenzi .
Naomba...
Kwa kifupi kabisa nisingependa kuzungumza kwa undani sana juu ya tabia za wanawake kwani kila mwanake anatabia yake tofouti na sifa zake binafsi hivyo basi ningependa kujua ni mwanamke yupi...
Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, kwa kuwa rehema zake hazikomi
Ni mpya kila siku asubuhi, uaminifu wako ni mkuu
Bwana ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, kwahiyo nitamtumaini yeye...
Wadau mimi nina ndoa changa ya miezi 6, sasa tuna fanya kazi wote hapa dar mimi niko posta yeye yuko mikocheni. sasa tatizo linalonitesa ni kuwa wake za watu ofisini kwenu wanagegedwa sana na...
Habari za kazi waungwana naitwa Mahmoud Ismail kwa sasa nipo mjini Arusha lakini makazi yangu ni Shinyanga. Natafuta mchumba awe Muislam 18-22.
Awe na kazi ,asiwe na kazi sawa tu, sababu mimi...
Habari za wkend wana jf,Niliyekuwa namtarajia bado yupo mkoani na kanibore sana na sihitaji tena kuwa nae,nikiipogia cm working days mara npo busy,mida ya jioni mara nmechoka,wk ends mara mara...
Kwa taarifa nilizopokea masaa kadhaa yaliyo pita mpaka sasa kutoka kwa huyu member hali yake sio nzuri kiafya. Tatizo kubwa linalo mkabili ni homa, iliyo muanza usiku wa kuamkia leo.
Muda huu...
Kuna kitu kimenishtua sana.., eti kuna baadhi ya jamii mtu anaweza kuoa binti wa dada yake (yaani mjomba anaoa binamu).., sasa kwanini na mashangazi wasiwe wanaolewa na watoto wa kaka zao.., yaani...
Nawasalimu wote, mambo zenu, shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba
Nirudi kwenye mada jamani kaka zangu na rafiki zangu wa kiume kwenye swala la kumtongoza mwanamke mnaboa...
Mke wa rafiki yangu amenifanyia vituko vya kila aina ili kunivuta kimapenzi wakati anajua ni shemeji yangu nami pia nina mke na anamfahamu. Mwanzo aliomba namba zangu za simu nikamkwepa kiaina...