Nifanyeje ili hasinisaliti?

Nifanyeje ili hasinisaliti?

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Wadau mimi nina ndoa changa ya miezi 6, sasa tuna fanya kazi wote hapa dar mimi niko posta yeye yuko mikocheni. sasa tatizo linalonitesa ni kuwa wake za watu ofisini kwenu wanagegedwa sana na wafanyakazi wenzetu ingawa wana waume zao majumbani kwao.

sasa nilikuwa najiuliza nimfanyeje wife ili muda wote kwanzia asubuhi mpaka hiyo usiku tunapokutana asiwe na hamu kabisa ya kufanya mapenzi?ili asije akarubuniwa na kunisaliti.
 
No pm nikusaidie jambo ambalo utokaa unisahau maisha yako yote
 
Jiulize sababu za kukusaliti ni zipi, afu ndo udeal nazo...
otherwise acha kazi ukae nae kumlinda asicheat.
 
Wadau mimi nina ndoa changa ya miezi 6, sasa tuna fanya kazi wote hapa dar mimi niko posta yeye yuko mikocheni. sasa tatizo linalonitesa ni kuwa wake za watu ofisini kwenu wanagegedwa sana na wafanyakazi wenzetu ingawa wana waume zao majumbani kwao.

sasa nilikuwa najiuliza nimfanyeje wife ili muda wote kwanzia asubuhi mpaka hiyo usiku tunapokutana asiwe na hamu kabisa ya kufanya mapenzi?ili asije akarubuniwa na kunisaliti.

nunua kufuri ya chuma ufunguo utembee nao.hii tosha kabisa
 
weka plasta
10253932_10203014323254507_395774762476273571_n.jpg
 
binadamu halindwi....

binadamu hachungwi......

binadamu akiamua kugegedana huwezi mzuia...

kitu kinachoilinda na kuijenga ndoa ni UAMINIFU

kama una mapungufu yarekebishe

wewe ndio unamjua mkeo, usimfananishe mkeo na wengine.....yeye sio wengine...nakutakia ndoa njema

duh. ila maofisini nako ni noma uzinzi umezidi
 
Wadau mimi nina ndoa changa ya miezi 6, sasa tuna fanya kazi wote hapa dar mimi niko posta yeye yuko mikocheni. sasa tatizo linalonitesa ni kuwa wake za watu ofisini kwenu wanagegedwa sana na wafanyakazi wenzetu ingawa wana waume zao majumbani kwao.

sasa nilikuwa najiuliza nimfanyeje wife ili muda wote kwanzia asubuhi mpaka hiyo usiku tunapokutana asiwe na hamu kabisa ya kufanya mapenzi?ili asije akarubuniwa na kunisaliti.

Umejuaje kama wake za watu wanagegedwa maofisini?Jinsi unavyoandika yaonyesha unavyoichukulia hii tabia ni kama ya kawaida tu kwa watu wengi,mbona mimi naona ni hofu tu kutokana na huenda uzoefu wako wewe ulivyo au unavyowafanyia wake wa wenzio?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mkuuu muhimu ni kumuamini mpaka utakapo ona si mwaminifu utakufa mapema wewe... unataka kumchunga mwanamke achakabisa akiamua kuliwa hata ukiwa nae anaweza liwa vile vile ni we kuwa responsible mpe dudu yake sawa sawa ,... mpe matumizi yake vilivyo mpende mjali that all hayo mengine uwezi fanya .......

ofisini kwako wanagegedwa swali hivi we umeshakula wangapi hapo?
 
Back
Top Bottom