Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uswazi raha sana hasa kwa vituko vinavvyotokea,yaliyotokea hivi karbuni yamenichekesha sana ingawa kwa mhusika yalimuumiza Ni hivi,kuna jamaa mmoja mkewe alijifungua mtoto wa kiume kwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
kuna kaka mmoja ameoa mkewe wana mtoto mmoja, mume wa huyu msichana alikuwa ni mwanaume mkoloni sana, yani yeye kila kitu ni amri sio kubembeleza huyu mumewe alikuwa hataki kupikiwa chakula...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamii Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi. Kwakweli...
8 Reactions
226 Replies
19K Views
Hii ilitokea huko Arusha mwaka huu mwezi wa pili. Kuna mdada wa mmoja aliyekuwa akiitafuta ndoa kwa udi na uvumba, akaipata kwa mkaka mmoja ustaadhi mwenye umbo la kawaida tu. Kwa uzoefu bi dada...
1 Reactions
50 Replies
11K Views
Napenda kuwatakia wadau na mmarafiki woote I jima a kuu njema. Kumbukeni kutafuta AMANI na watu wote na kwamba amri kuu ni UPENDO. Dark City babu yangu holy good friday, Mume wangu kipenzi...
37 Reactions
314 Replies
20K Views
Habari Jaleleno MMU Leo naomba tushee hizi kero za mama wenye nyumba kwa sisi tunaoishi nyumba za kupanga. Ukienda kupanga bora muhusika awe Baba mwenye nyumba wengi hawana matatizo kama hawa...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Wasalaam,wakubwa mooni.. Sio wakat tunakua na mada zenye maudhui ya moja kwa moja kuna wakat tunafanya iv.. Am so addicted to my phone kiasi cha naweza kushinda a whole day nikibonyeza apa...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari zenu wana Jamii, Niko hapa leo nadhani hii ndio post yangu ya kwanza hapa, na kilichonifanya ku-post ni kwasababu ya hi lugha ambayo imeenea sana sasa hivi humu mjini eti ''Ni kheri ukosee...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Nimeshangazwa na mzinga wa aina yake wa huyu mwanamke eti nimtumie hela kwa ajili ya kumnunulia dawa bibi yake anaumwa dengue fever miaka 5 sasa inayotokana na mbu anayeitwa AEDES wakati ugonjwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nipo katika mgogoro mkubwa katika mahusiano yangu na NINAOMBA wana MMU mnisaidie. Nisingependa kuueleza hapa kwa sababu mhusika pia ni member humu. Tafadhali mnisaidie nim PM nani na nani ambao...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
nili wahi kukukose sana tangu majumba madogo hadi majumba makubwa, sikua mm bali ni shetan alinipitia,si hyo tu hata pindi jua alijachomoza, nilikukosea na kufikia hatua ya kukupiga.im sory for...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
habar wana jf.... jana jioni nikiwa narejea pahala nilipofikia huku rufiji nikakuta mama anamchapa mwanae wa kiume kama mfugo ikaniuma xana nikahc labda ni mtt wake wa kambo, nikataka kujua xababu...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Say something, I'm giving up on you I'll be the one, if you want me to Anywhere I would've followed you Say something, I'm giving up on you And I am feeling so small It was over my head I know...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Najiuliza sipati jibu.ukikutana na mwanamke/msichana ukamtongoza kabla ya kukutana nae kimwili huwa wanasumbua sana.bt akisha toa papuchi hata umwite saa ngapi hatakuja tu.Hii inasababishwa na nn...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wanawake wengi wamejiingiza ktk mahusiano ya kingono kabla ya ndoa tatizo hili linawasababaisha vijana kuogopa fedheha.Wanasema kama utaoa mke ambaye amengonoka na wanaume mengi ktk mtaa fulani...
2 Reactions
127 Replies
12K Views
Salam za dhati kwenu wakuu, Nimerudi sasa toka lile swala la koo langu kushambuliwa na wadudu wakali ilipunguza kasi ya kutembelea jukwaa hili kwa sababu mapenzi yote yalikuwa JF Dokta. Turudi...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
Njia kuu inazingua ile mbaya kiasi cha kutokuwa na mawasiliano mazuri, tunaweza kaa hata wiki bila kupigiana simu, lakini kila nikiwaza kuchepuka, lazima anicall na kuniuliza nipo wapi...anajuaje...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani miaka ya karibuni wanawake wanaonekana kama watu wanaopenda fedha zaidi kuliko mapenzi ya kweli japo kuna wanawake ambao kwao fedha sio chochote nikiwa na maana wana mapenzi ya kweli japo...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
hakuna raha kubwa km pale unapojua unapendwa, upendo n kitu ambacho kimebeba sehemu kubwa ktk maisha yetu . Upendo ulio wa dhati ni lazima utagharimu kwa yule anayependa, utagharimu vingi kama...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuuu habari zenu? Natumai muwazima wa afya? Si zamani sana niliweka ukumbini kua mke wa mtu ambaye alikua ni x wangu ananisumbua kwa kutaka tuwe wapenzi na kibaya sote tuko katika ndoa na...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Back
Top Bottom