Visa Vya Mama Wenye Nyumaba

Visa Vya Mama Wenye Nyumaba

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,841
Habari Jaleleno MMU

Leo naomba tushee hizi kero za mama wenye nyumba kwa sisi tunaoishi nyumba za kupanga.
Ukienda kupanga bora muhusika awe Baba mwenye nyumba wengi hawana matatizo kama hawa mama zetu.
Mimi kipindi nasoma nilipanga kwenye nyumba ya Mama moja wa Kinyakyusa,Yule mama alikuwa hatari kwa mdomo,Nilijitahidi kumkwepa na kuwa busy cha ajabu siku mkikutana, We binti mbona sikuoni jikoni ukipika? utaniharibia ukuta wangu hii nyumba nilijenga mimi hii sio huyu babako(mumewe).
Haitoshi ikija bili ya maji toooobaaa!!!! ugomvi,anakuambia wewe mwenye kichumba kimoja ndo unamatumizi makubwa ya maji,Yaani ilikuwa ugomvi.
Nje kulikuwa na mti wa mapera msimu wa mapera ukianza anatoa kiti nje analinda mapera,ukipita anaanza kuimba taarabu mara mdundiko sijui..
Mpaka siku naondoka ilibidi niondoke kama mwizi ile nyumba asijue naondoka ,lakini nilimkomoa kama mwezi haujaisha nilitumia kupika kande jiko la umeme,maji ya kuoga,chooni nikamkomesha kuweka dekio chini kuacha maji yanatirika,na choo nikachukua gunia nikakandamiza.
Yule mama sitamsahau,mdomo wake alikuwa anamfokea mumewe hata nje ya uwanja,wapangaji nyumba yake walikuwa wanashindwa kukaa domo la mama mwenye hausi..

Hebu tupeane za mama mwenye nyumba wako huko kwa sisi tusiojenga.

Maneno yako hujakosea kabisa, nakubaliana na wewe bila ya kipangamizi chochote
 
Soma hapo blue kwa sauti. Una roho ya shetani. Tena wewe ukibahatika kuwa mwenye nyumba itakuwa balaa
 
I suffered alot na huyo mama nikisema nitoe habari zote mtachoka kusoma,kifupi yule mama alikuwa anaroho ngumu saanaa.Nyumba yake watoto wa kumzaa yeye tu hawakanyagi kwao.sembuse mimi?wala sikukosea na sina roho ya shetani kama ufikiriavyo ila wewe inaonyesha uko hivyo.
Asante.
 
Tatizo ni nini?
1. Kuwa na landlord mwanamke? Au
2. Kuwa na landlord mnyakyusa? Au
3. Kuwa na landlord ambaye ni mwanamke wa kinyakyusa?
 
Kuna chumba nilipanga maza house nae anaishi pale yuko divorced nahana kazi,nilikumbana na vituko sitasahau umeme kutwa nzima unazimwa 7/ week wanawasha saa moja jion na kuuzima tena 12 asbh kisa naambiwa laptop yng inamaliza umeme wakat huo natoa 15 kwa mwezi hela umeme,hapo nina pasi,laptop na taa basi.Vimbwanga vilikuwa vingi ilibid nihame niache kodi ya miezi 4
 
We shared the same thing, heri kwako ulilipa 15 mimi nilikuwa natoa hata 50,pungufu ikija 35.yeye anatoa ka 10 anasema before mimi alikuwa anatoa hiyo.
 
Habari Jaleleno MMU

Leo naomba tushee hizi kero za mama wenye nyumba kwa sisi tunaoishi nyumba za kupanga.
Ukienda kupanga bora muhusika awe Baba mwenye nyumba wengi hawana matatizo kama hawa mama zetu.
Mimi kipindi nasoma nilipanga kwenye nyumba ya Mama moja wa Kinyakyusa,Yule mama alikuwa hatari kwa mdomo,Nilijitahidi kumkwepa na kuwa busy cha ajabu siku mkikutana, We binti mbona sikuoni jikoni ukipika? utaniharibia ukuta wangu hii nyumba nilijenga mimi hii sio huyu babako(mumewe).
Haitoshi ikija bili ya maji toooobaaa!!!! ugomvi,anakuambia wewe mwenye kichumba kimoja ndo unamatumizi makubwa ya maji,Yaani ilikuwa ugomvi.
Nje kulikuwa na mti wa mapera msimu wa mapera ukianza anatoa kiti nje analinda mapera,ukipita anaanza kuimba taarabu mara mdundiko sijui..
Mpaka siku naondoka ilibidi niondoke kama mwizi ile nyumba asijue naondoka ,lakini nilimkomoa kama mwezi haujaisha nilitumia kupika kande jiko la umeme,maji ya kuoga,chooni nikamkomesha kuweka dekio chini kuacha maji yanatirika,na choo nikachukua gunia nikakandamiza.
Yule mama sitamsahau,mdomo wake alikuwa anamfokea mumewe hata nje ya uwanja,wapangaji nyumba yake walikuwa wanashindwa kukaa domo la mama mwenye hausi..

Hebu tupeane za mama mwenye nyumba wako huko kwa sisi tusiojenga.

Inanikumbusha video mmoja ya ki Nigeria "Mama G," G for general.
 
Nilipokuwa nimepanga, bibi mwenye nyumba msela sana.

Sikuwahi kusikia zamu ya kudeki chooni, kufagia nje wala usafi wa aina yeyote.

Umeme unatumia utakavyo hadi kupikia jiko la umeme na tulikuwa wanaume wote kwahyo matumizi ya umeme ni babu kubwa ukichangia tulikuwa tunalipia 15,000 kwa mwezi ku-cover umeme, maji na usafi.

Mpenzi wako akija hana soo wala nini, yani ilikuwa raha sana. Sahivi nimehama nimemweka ndugu yangu pale na akitoka atamuweka mwingine.

Yule bibi nampenda sana, alitulea kama wanawe.
 
I suffered alot na huyo mama nikisema nitoe habari zote mtachoka kusoma,kifupi yule mama alikuwa anaroho ngumu saanaa.Nyumba yake watoto wa kumzaa yeye tu hawakanyagi kwao.sembuse mimi?wala sikukosea na sina roho ya shetani kama ufikiriavyo ila wewe inaonyesha uko hivyo.
Asante.

Narudia tena... Una roho ya shetani. Kwa kuwa shetani ndie mtu wa visasi. Hukuwa na sababu ya kufanya yote hayo ili kulipia ubaya aliokufanyia.
 
Landlord Mwanamke

Hapana, si kweli, usichukulie kwa ujumla wake.

Nimepanga nyumba, mama mwenye nyumba hata akiwa na shida gani haingii kwangu. Na nimuelewa sana, na hii imesaidia na mimi kumueelewa na kuwa as part of the family. So si kweli kuwa ma landlords wote wanawake ni shida.
 
Habari Jaleleno MMU

Leo naomba tushee hizi kero za mama wenye nyumba kwa sisi tunaoishi nyumba za kupanga.
Ukienda kupanga bora muhusika awe Baba mwenye nyumba wengi hawana matatizo kama hawa mama zetu.
Mimi kipindi nasoma nilipanga kwenye nyumba ya Mama moja wa Kinyakyusa,Yule mama alikuwa hatari kwa mdomo,Nilijitahidi kumkwepa na kuwa busy cha ajabu siku mkikutana, We binti mbona sikuoni jikoni ukipika? utaniharibia ukuta wangu hii nyumba nilijenga mimi hii sio huyu babako(mumewe).
Haitoshi ikija bili ya maji toooobaaa!!!! ugomvi,anakuambia wewe mwenye kichumba kimoja ndo unamatumizi makubwa ya maji,Yaani ilikuwa ugomvi.
Nje kulikuwa na mti wa mapera msimu wa mapera ukianza anatoa kiti nje analinda mapera,ukipita anaanza kuimba taarabu mara mdundiko sijui..
Mpaka siku naondoka ilibidi niondoke kama mwizi ile nyumba asijue naondoka ,lakini nilimkomoa kama mwezi haujaisha nilitumia kupika kande jiko la umeme,maji ya kuoga,chooni nikamkomesha kuweka dekio chini kuacha maji yanatirika,na choo nikachukua gunia nikakandamiza.
Yule mama sitamsahau,mdomo wake alikuwa anamfokea mumewe hata nje ya uwanja,wapangaji nyumba yake walikuwa wanashindwa kukaa domo la mama mwenye hausi..

Hebu tupeane za mama mwenye nyumba wako huko kwa sisi tusiojenga.

Wakati mwengine inabidi kuwapa adhabu ya kutembea na waume zao na sisi wanaume inabibi kumtongoza
 
Hahahahahaaa umenikumbusha mbaaali kweli kuna kipindi nilipanga kwenye nyumba mother house alikuwa hasikii vizuri basi ilikuwa taabu kweli yeye alikuwa na kajumba kadogo anaishi na sisi tulikuwa tupo nyumba kubwa basi alikuwa nuksi balaa mlango wa mbele funguo anashika yeye ili ajue unatoka saa ngapi na unaingia na nini au nani mkikaa kwa mbele kwenye kibaraza usiku mnapunga upepo mmezima taa atakuja kuiwasha na ugomvi juu wakati hiyo nyumba wala hakai yupo nyumba nyingine siku moja alituchekesha sana kuna mpangaji frige yake ilikuwa mbovu ya kujaza gesi basi fundi akaja na mtungi wake wa kujazia gesi kutokana na ulozi wa yule mama au ulimbukeni mama acha alianzishe zogo wapangaji watalipua nyumba yake wameanza kuingiza majiko ya gesi ndani da nyumba za kupanga sio mchezo lakini sio makosa yake mama akikuwa mwenyeji wa ukerewe kwa hiyo kuwa na kibanda mjini aliona kama ndio mwisho wa yote nyumba zenyewe za serikali waliuziwa baada yamumewe kustaafu kazi serikalini wakabahatika kuuziwa nyumba lakini mama wenye nyumba ni nuksi
 
Habari Jaleleno MMU

Leo naomba tushee hizi kero za mama wenye nyumba kwa sisi tunaoishi nyumba za kupanga.
Ukienda kupanga bora muhusika awe Baba mwenye nyumba wengi hawana matatizo kama hawa mama zetu.
Mimi kipindi nasoma nilipanga kwenye nyumba ya Mama moja wa Kinyakyusa,Yule mama alikuwa hatari kwa mdomo,Nilijitahidi kumkwepa na kuwa busy cha ajabu siku mkikutana, We binti mbona sikuoni jikoni ukipika? utaniharibia ukuta wangu hii nyumba nilijenga mimi hii sio huyu babako(mumewe).
Haitoshi ikija bili ya maji toooobaaa!!!! ugomvi,anakuambia wewe mwenye kichumba kimoja ndo unamatumizi makubwa ya maji,Yaani ilikuwa ugomvi.
Nje kulikuwa na mti wa mapera msimu wa mapera ukianza anatoa kiti nje analinda mapera,ukipita anaanza kuimba taarabu mara mdundiko sijui..
Mpaka siku naondoka ilibidi niondoke kama mwizi ile nyumba asijue naondoka ,lakini nilimkomoa kama mwezi haujaisha nilitumia kupika kande jiko la umeme,maji ya kuoga,chooni nikamkomesha kuweka dekio chini kuacha maji yanatirika,na choo nikachukua gunia nikakandamiza.
Yule mama sitamsahau,mdomo wake alikuwa anamfokea mumewe hata nje ya uwanja,wapangaji nyumba yake walikuwa wanashindwa kukaa domo la mama mwenye hausi..

Hebu tupeane za mama mwenye nyumba wako huko kwa sisi tusiojenga.

hiyo no moja ya tabia za wanyakyusa Mungu aniepushie mbali aisee wanaongea sana na cpend watu wa hivyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom