akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
Njia kuu inazingua ile mbaya kiasi cha kutokuwa na mawasiliano mazuri, tunaweza kaa hata wiki bila kupigiana simu, lakini kila nikiwaza kuchepuka, lazima anicall na kuniuliza nipo wapi...anajuaje huyu mtu.?!?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Sent from my iPhone using JamiiForums app