Addicted to my phone

Addicted to my phone

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,027
Reaction score
1,052
Wasalaam,wakubwa mooni..

Sio wakat tunakua na mada zenye maudhui ya moja kwa moja kuna wakat tunafanya iv..

Am so addicted to my phone kiasi cha naweza kushinda a whole day nikibonyeza apa pale...nawaza siku ikizingua sina mkwanja wa kunnua nyngne naeza nkafa kwa kihoro..

Nna hakika ningekua napenda kusoma vitabu vitakatifu vya mwenyez mungu basi ningekua naiona pepo ileee...

Ijumaa kariim.....
 

Attachments

  • 1400220822873.jpg
    1400220822873.jpg
    68.8 KB · Views: 435
mbona home page yako siielewi tigopesa nayo ni app
na jf kwanini umei download mara mbili
 
Yah tgo pesa sa iz wana app iyo
 
Jf moja ni general..ya pili n short cut to mmu..tehe
 
Mi nipo addicted na jf, yani hapa nna njaa nawaza kwenda kunywa chai kila nkitaka kulog out nahisi uvivu....
 
Mi nipo addicted na jf, yani hapa nna njaa nawaza kwenda kunywa chai kila nkitaka kulog out nahisi uvivu....

Hahahah...these thngs are so addictive...unaweza kukaribisha vidonda vya tumbo bila kujua...embu amka ukanywe chai ww!!!!
 
aiseeeee nilikuwa sijui hili lol

Ndo ushajua ivo....iko fasta sana...kwa mtu km mm mb za mwez natumia ck 5 kunnua muda wa maongez tgo pesa au bank kirahc kabisaaa...najitia umaskin bila kutumia nguvuuu..
 
Simu zimeathiri % kubwa Sana ya watu..DUNIANI
 
Simu zimeathiri % kubwa Sana ya watu..DUNIANI

Nahc mm ni wale wa mwanzo mwanzo kabsa...

Nahc mpk hii cm kuna ck itaomba poo...ndo mana apa natafuta mteja ikamfie ukoo m nvute brand nyngne maana nahc ata proccesor itakua taaban....no rests
 
Back
Top Bottom