Mwanamke/Msichana kabla na baada ya kufanya mapenzi.

Mwanamke/Msichana kabla na baada ya kufanya mapenzi.

Mbangubangu

Senior Member
Joined
May 6, 2013
Posts
188
Reaction score
70
Najiuliza sipati jibu.ukikutana na mwanamke/msichana ukamtongoza kabla ya kukutana nae kimwili huwa wanasumbua sana.bt akisha toa papuchi hata umwite saa ngapi hatakuja tu.Hii inasababishwa na nn wadau.
 
Anajua mwisho wa kuringa ndo huo akiringa wakati ulisha mk...lea huta babaika na tena huwa wao ndo wanaanza kutaka mchezo
 
Kama ukimtokea hapohapo akakujibu nimekubali twende nikakupe gegedo utaenda?
Kama akikukubalia akawa anakupenda kwa dhati alafu ukamwitaji kimwili akakujibu sitaki na sikupendi utajisikiaje?
 
..afu hata awe bibi...ukisha gonga anakuita bby..hny..swt...& the like..afu anakuja muda wowote...maringo kwisha..akikuona anatoa vijicho vya kimahaba flani hv...afu kuringa kwisha...ILA MA.LAYA. HATA UPITE MARA ELFU...ukiwa huna pochi HUPATI KITU..na hana time...nina zake ma.laya wallaah...!!!
 
Back
Top Bottom