Massage centre in Ilala

Massage centre in Ilala

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
habari wadau,

nimeendesha gari toka mkoani masaa 11 nasikia hoi balaaa.
Naomba anayefaham massage centre yoyote iliyo mitaa ya Ilala hadi Buguruni anipe contacts na location walau nikandwe kupunguza maumivu.

kama itakuwa na huduma yetu ileeeee itapendeza

Please its urgent
 
habari wadau,

nimeendesha gari toka mkoani masaa 11 nasikia hoi balaaa.
Naomba anayefaham massage centre yoyote iliyo mitaa ya ilala hadi buguruni anipe contacts na location walau nikandwe kupunguza maumivu.

Please its urgent

unata masaji au mambo yetu yale/ anyway wewe tafuta saluni yoyote ya kike jirani ulizia hapo utafahamishwa wapi unaweza kupata huduma ya masaji.
 
mkuu nahitaji masaji kweli sina kingine
 
unajua mkuu kuvamia saloon unaona ni ya kike halaf unauliza masaji inaweza kuleta picha tofauti,kama kuna mtu anafaham yoyote mitaa niliyotaja
 
unajua mkuu kuvamia saloon unaona ni ya kike halaf unauliza masaji inaweza kuleta picha tofauti,kama kuna mtu anafaham yoyote mitaa niliyotaja
mkuu hapa ni mjini acha mambo hayo. wewe tinga saluni uliza tu.
 
habari wadau,

nimeendesha gari toka mkoani masaa 11 nasikia hoi balaaa.
Naomba anayefaham massage centre yoyote iliyo mitaa ya Ilala hadi Buguruni anipe contacts na location walau nikandwe kupunguza maumivu.

Please its urgent

Huna mke/ girlfriend? Massage inakuwa tamu sana ukifanywa na baby aiseee.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom