Mlupembe
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 446
- 217
Ni mwaka mmoja tangu tuwe na mahusiana tulikuwa wenye furaha ! Tulielewana ki tabia tukavumiliana , nikaja lipa mahari ! Familia yangu iko buzy kuandaa harusi mwz wa nane umeanza vituko , mamako haishi ukorofi ! Mara akutume unambie hamjajiandaa kwa ndoa mara eti nigharamie send off.. We mwenyewe ndo dah ! Huishi ubishi , kila nkisema wabishia... Kununa tu.... Poa me poa tu.. Nalala.