Wasalaam wana bodi...habareeee
Juzi nimepata zali la kupendwa na kabinti aka kabint nilikutana nako mjini hapa kwenye mishe mishe zangu, kanasoma Diploma chuo kimoja apa jijini.
Ofcoz nina muda...
Nimeoa kwa ndoa kabisa lkn kwa kibur cha huyu mwanamke
Mm nahisi nimeshindwa
Sasa sasa sasa natafuta mwanamke mwingine nitamwoa huyu nimechoka
Ile tamu imegeuka shubirii
Nakunywa maji ya moto...
Nilikutana nae miezi miwili, iliyopita,ni mchepuko dizain jana pia nilikuwa nae kuanzia saa sita mchana hadi asubuhi hii, ni binti mmoja mrembo wa kisingida, nimempata bata za kutosha ucku mzima...
SAMAHANI KIDOGO..
Nimejaribu kuchunguza kuhusu uvaaji wa "Tight" au zile chupi za Kubana Kwa dada zetu nikagundua wanawake wengi wa kizungu hawavai hii kitu kama sisi weusi..wao ni chupi tena...
Baada ya kufuata ushauri wenu na kujionea yoooote hayo niliyoona. Nimeamua kabisa kuachana na mtoto wa kinyarwanda.
Sasa hivi niko free. Natafuta kitoto cha kitz kitakacho nikonga moyo wangu...
Nimefanya kautafiti kangu hapa na pale nimegundua mabenki 98% yana milikiwa na makampuni ya nje hapa tz.
Nilikuwa nadha CRDB labda asilimia kubwa ni watz kumbe wapi.
Nimeshangaa sana benk kama...
1 - Unapoamka asubuhi wazo la kwanza kukujia linamhusu mpenzi wako au unafikiria zaidi kazi na mambo mengine? Una msukumo wa kutaka kumsalimia na pengine kumuuliza anapenda afungue kinywa kwa...
Hello wana jf mimi nina utata kidogo na swala tunaposema wapenzi waendane nje ya tabia nahobbies wat else is most iimportant.mfani naskia wengi wanasema diamond na wema hawaendani.mbona wema ni...
Mwezi uliopita nilipata ugeni hapa kwangu, alikuja dada mmoja kwa sasa anamalizia masomo yake ya Nursing katika chuo kimoja kilichopo Mkoani Shinyanga.
Dada huyu ni mzuri balaa na ukizingatia ana...
kutokana na kukua kwa teknolojia kuwasiliana siku hizi imekuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa zamani. Teknolojia pia imeleta vitu vingine ambavyo vimepata ushabiki hapa bongo kama vile ligi kuu ya...
Habari wana MMU
Nimekuwa nikijiuliza,pia kuona halafu watu wanavyoongea kuhusu maisha ya ndoa.Inavyo onekana ni kwamba mwanamke hana haki.Mfano, mwanamme akihitaji kufanya tendo la ndoa na mke...
Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri.
Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi...
Habari ya weekend wana JF,
Katika pitapita zangu na kudadisi familia za kibongo, nimegundua kuna umuhimu mkubwa wa kuzaa watoto katika ndoa kwa sababu watoto wanaotunzwa kwenye malezi ya baba na...
Kuna baba fulani hapa mtaani kwetu ana tabia ya kumtaka kila binti atakayemtamani na kibaya zaidi kuna tetesi za chinichini kuwa ni muathirika.Tabia yake imezidi sasa kwani nimegundua ana...
Waswahili walisema kutoa ni moyo, mimi kama Elli napenda sana niwashukuru Wana JF wote kwa ujumla ambao mmekua sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Shukrani hizi zimejengwa kwenye msingi ule...
Habari zenu wana JF
Naomba kujua ni kwanini wanaume wengi wanaogopa sana kuoa mwanamke aliekwisha kuzaa na mwanaume mwngine?
A)hofu ya kupigiwa na mwanaume alozaa nae
B)Kuhudumia mtoto asie wake...