Inanibidi ni mwache tu

Inanibidi ni mwache tu

Type

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
203
Reaction score
23
Nimeoa kwa ndoa kabisa lkn kwa kibur cha huyu mwanamke
Mm nahisi nimeshindwa

Sasa sasa sasa natafuta mwanamke mwingine nitamwoa huyu nimechoka
Ile tamu imegeuka shubirii
Nakunywa maji ya moto
Kwangu mm ni changamotoo
 
vumilia si uliapa kifo tu ndicho kitakacho watenganisha
 
usiwe na wasiwasi utampata mwngine humu....halafu wadada wa humu wanapenda sana waume za watu.
 
kuwa makin usijejilaumu ukaoa mmoja baada ya mwngne maana tabia za hawa wa siku hizi ni kama wanafanana
 
Mkuu unaimba shairi au yamekukuta kweli? Maana kama una rap hivi,naona vina hapo
 
Mkuu unaimba shairi au yamekukuta kweli? Maana kama una rap hivi,naona vina hapo

Bwana nisha mwambia achukue kila kitu anachoweza aniachie milango na madirisha funguo aiyache kwa jirani tuu
Nitaikuta
 
Back
Top Bottom